Huyu baharia alichonifanyia siyo poa

Huyu baharia alichonifanyia siyo poa

Daddo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,435
Reaction score
1,027
Habari za MMU wadau!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Leo katika mizunguko yangu maeneo ya Kigambonino kwenye jiji la makondactor basi nikamuona duu mmoja barabarani akiwa anatembea.
Baharia nikamcheck nikawaza nisimame japo kidogo ili nimsabahi ikiwezekana nipate namna ya kuongra naye.
Mazingira hayakuwa favourable kwangu kwani upande aliokuwa ulikuwa ni tofauti na wangu so nikapiga moyo konde nikawa Kama nimeamua kupotezea.
Baada ya kumove Kama mita Mia nikasikia kabisa mungu wa mabaharia ananikoromea kumuacha mrembo yule bila hata kusikia sauti yake. Nikaopt kutafuta sehemu ya kugeuzia gari.
Basi mbele kidogo nikaona barabara ndogo inayoungana na hii ya Rami niliyokuwa natumia. Nikasema Asante malaika wa mabaharia kwa kuniwekea barabara hii. Nikaitumia nikageuza gari.
Basi bwana wakati nageuza gari nikaona gari nyingine inakuja hii ilikuwa terios kid, so nikaona kwakuwa jamaa ndiyo Mwenye haki nikaacha apite kwanza kumbe ndiyo hapo ndiyo kosa nimefanya.
Sikujua kuwa yule niliyemwacha ni baharia konki nayeye. Wakati tunaongoza huku Mimi mawazo yakiwa kusimama kuongea na yule manzi basi bwana haharia yule uchwara naye kumbe amemuona yule duu ghafla nikaona indicator ya kushoto imewashwa kuashiria anataka kupak pembeni kidogo maana pale tulipokuwa tumefika kulikuwa hakuna mchepuko wa njia.
Muda si mrefu nikaona jamaa amesimama anaongea na yule duu asijue ameniharibia move.
Nikasema isiwe kesi nikazuga Kama huo ndiyo ulikuwa uelekeo wangu wa safari nikaendelea na mbele kutafuta sehemu ya kugeuzia ili niendelee na safari yangu ya awali.
Wewe baharia uliye nifanyia hivyo Mungu anakuona.
 
Baharia mtembea kwa miguu vs Baharia mwenye gari.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
[emoji3][emoji3][emoji3] una muita baharia uchwara mshikaji??ww ndiye baharia mzembe...hapo ndio mbinu za kivita zingetumika,,
 
Jamaa kanikera kinoma ila poa tu
[emoji3][emoji3][emoji3] una muita baharia uchwara mshikaji??ww ndiye baharia mzembe...hapo ndio mbinu za kivita zingetumika,,
 
Pole ndugu sikujua kama nimekuaharibia,kale kademu ni katoto kazuri ni memba humu jf,nilienda kukabandua nimekapa 7800
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom