Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndio umuhimu wa mama kubwa unapoonekana.... Unafunikwa mpaka nyusi.... Wanaposema blanket chapa ntu godoro wewe basi ndio hii... Na baridi kama hii... Kimbaumbau tupa kule... Sorry weka store kwa...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Ati kwa vile hawezi kuniona in real life na hajui ataniona lini 👾 ila kuna watu waongo sana 😂
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Utachagua No ipi hapo,
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Duniani tunapitia mengi hasa katika ulimwengu wa mapenzi. Kuna kastori ka kweli naomba niwashirikishe. Nitavaa uhalisia ili iwe na maana halisi ila niya kweli kabisa. Nilikutana na mwanamke...
4 Reactions
81 Replies
5K Views
Niliwahi leta uzi humu kushinikiza kuwa kuanzia sasa kila mtu kwenye mambo ya ndoa apambane mwenyewe kujichangia ikiwezekana afunge ndoa ya siri isiyo na gharama kubwa ili tusileteane usumbufu...
7 Reactions
51 Replies
7K Views
Nilicho kutana nacho kwa haka kamanzi,toka nikue sijawahi ona. Tulikutana kwenye daladala baada ya kubadilishana namba za simu na kupanga makutano. Lodge sasa, Romance,romance kila niki gusa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari ya siku wadau wa MMU, Natumai mpo poa mnaendeleza vyema gurudumu la maendeleo. Kuna tabia moja imezuka ambayo mwanzoni nilidhani ni utani kumbe kweli hii kitu ipo. kwa mabinti walio...
16 Reactions
271 Replies
39K Views
Habari wakuu.... Ni miaka. Sasa nahangaikia tatizi langu bila kupona...! ( ndoto mbaya na za kutisha) Katika pitapita zangu za hapa na pale nikakutana na matumizi ya miski kuondoa na kumdhoifisha...
0 Reactions
26 Replies
12K Views
Nimekuwa sio mtumiaji sana wa hii mipira lakin ninapo itumia nateseka sana bao la kwanza angalau linaenda vizur japo kwa muda na ukavu kidogo ni changamoto. Ila kwa mimi bao la pili mwanamke...
7 Reactions
77 Replies
20K Views
Habari watu wema! Hii ni kwa wale waliopo mapenzini ambao mapenzi yao yanastawi, yana uhai na sifa za mapenzi bora. Msifanye upuuzi, kama kupiga picha za uchi kwa kuwa mnapendana sana, au...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
1. Ukifika sehemu.... Salimia 2. Ukiondoka sehemu..... Aga 3. Ukisaidiwa....... Shukuru 4. Ukiahidi...... Tekeleza 5. Ukikosea.... Omba msamaha 6. Kama hujaelewa..... Uliza 7. Unacho... Gawa kwa...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Ukileta mada za kulana mgongo humu Asilimia kubwa ya wana JF watakuponda na kila mtu atasema ni dhambi Hawezi fanya hicho kitendo, Lakini ukiingia kule jukwaa la wakubwa video karibia zote ni za...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Guys hii kitu nimeitoa Instagram kwa kaka yangu @pharm_Solomon so ni vyema tukajifunza pia.. Jamii yetu imejaa vimbwanga sana kipindi hichi na wengine wanatamani kuwa na maumbile makubwa kisa...
5 Reactions
71 Replies
19K Views
kama topic inavyojieleza natafuta mchumba wa kike umri wangu 25 na yeye awe na 18 -26 Awe single mother pia sio mbaya kikubwa 2pendane 2 Kwa maelezo mengi njoo Pm am SERIOUS
0 Reactions
2 Replies
900 Views
Habari wana Jf , Mimi ni mwanaume wa miaka kadhaa (20's), hii ishu ivi inatokeaga watu wengi au ni mimi tu , ipo hivi ... Nilikuwa na mlupo mmoja hivi nilivokuwa form Six , tulianza kudate kipindi...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Kila mtu ana Starehe yake hapa Duniani,mwingine Anapenda sana pombe yaani yeye kwake pombe ndio kila kitu,mwingine kwenda club na kucheza muziki yaani huyu ukimnyima nafasi ya kwenda huko tu...
6 Reactions
93 Replies
15K Views
habarini wakuu Jana katika maongezi na jirani yangu wa kike amabaye ni pacha na hajaolewa bado akanambia "kikawaida endapo pacha mmoja akiwahi kuolewa hasa wale wadogo lazima na huyu mkubwa alale...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wasalaam wana JF, Sikuhizi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kiume kutafuta wapenzi mitandaoni. Je sababu haswa ni ipi? Je ni kutojiamini au mitandaoni ndo kuna wapenzi wakweli?
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Mawasiliano ni kitu cha muhimu sana.Lakini si vizuri kwa masaa 24 kila mtu anayekutafuta awe anakupata kwenye mawasiliano.Ile hali ya mtu yeyote kukupata masaa 24 tunaita ni u-'cheap labour'.Yaani...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie ,,,,zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama...
12 Reactions
128 Replies
16K Views
Back
Top Bottom