Mke: Umetoka wapi . . ? [emoji19]
Mume: Kwani ulinituma wapi . . ?! [emoji21]
Mke: mbona umechoka hivyo . . ? [emoji53]
Mme: [emoji34] . . Kuna kitu unantafuta wewe sio bure . . , (anaingia chumbani kuvua nguo na kwenda kuoga . . [emoji372] [emoji371] )[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mke: (anamfuata chumbani . .) Huko ulikotoka hakuna maji . . ?! [emoji11]
(anawahi simu ya mumewe kuikagua . . ) . .
Sky . . , utangolewa meno mapemaaa ukikutana na mume aina ya Juma Pundamali Mensah . . [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]