Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,512
Baada ya kununiwa kwa week2 mfulilizo bila kujibiwa txt wala kupokea my calls na kuniblock juu ofcourse nilikuwa crazy nilikuwa najua nmeachwa tayar. Huyu bint nampenda sana jaman ndomana niliomba sana msamaha baada ya kumkoseaa.
Kosa kubwa ukarib wangu na mke wa mtu mtarajiwa mjamzito kaniganda sana huyu ex ,ulipelekea tuzinguane wtf?. Jana kaja kwangu bila taarifa akasema amenimiss amenisamehe but kwa mashart juu
1. Hataki kuona mwanamke yyte anakuja kwangu ambae hamjui.
2.Hataki kuona nikiwa na campan za mademu coz anasema hakuna urafiki kati ya me/ke akasema kama mimi nimemkataza asiwe na marafiki wa kiume hata yeye anataka niachane na madem ambao hawana msaada kwangu.
3.Kama kwel nampenda niende kwao wakanijue ili hata akiaga akichelew kurud wasiwe na maswali
4.Anataka nimtambulishe kwa my mama, sisterz, brothers na marafik [emoji40][emoji40]
5.Nipunguze starehe kama pombe, kwan natumia pesa vibaya .
6. Nianze kwenda Church [emoji547]
Haya ndo mashart niliyopewa wakuu bila hivyo nitampoteza and she's serious.