Wadau mlowagi kuvuta mizigo/madem kutoka mikoani mmewahi kukumbana na changamoto zipi?
Binafsi najutia sana pesa na muda wangu nlopoteza! Dem unaemuona insta/facebook na kusikia saut yake pindi...
Habari wanajukwaa, wale wa bongo Dar es salaam poleni na mvua za kifurushi cha buku jero.
Naenda straight to the topic kwamba mwanaume lazima uwe una vitu vifuatavyo(PCM), POSITION, CAR, MONEY...
Karibuni vijana wa kike na wakiume nawakaribisha kwenye uzi huu , Labda una changamoto yoyote inayokukabili kwenye maisha hujui jinsi ya kuitatua iweke hapa kuna watu wanaweza kua wmepitia nao...
Habari wana,
Kuna kale katabia ka wanawake kuleta usumbufu wa kutoa papuchi kwa ME wao bila sababu ya msingi, sijui ni uvivu ama nini.
Unakutana na jibu mimi sijiskii kufanya...mara tutafanya...
Najua kila mmoja ana namna ya kuishi. Pamoja na hayo nimeona vema nikawakumbusha ndugu zangu waliofungwa na vifungo vigumu vya ndoa au uchumba.
Nimeamua kuandika huu uzi nikiamini kwamba rafiki...
Heshima kwenu wanawake na wanaume wa hapa jamvini,
Lengo siyo kupashana, bali kukumbushana.
Mada ya leo ni hii:
Inapokuja ishu ya mahusiano, kuna jambo hutokea endapo utasalitiwa na yule...
Tangu juzi na jana tumesemeshana weeeh! Tukabishana weeeh! Tukatukanana weeeh! Mwisho tukakaa sawaaa, adabu mkononi aahhahahaaaa looh!!
Leo kanialika niende uwanjani jioni nikaangalie nama...
Habarini ndugu zangu wanaJf,
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kama ifuatavyo:
Mimi ni kijana wa kiume, kwa sasa nipo Dodoma na umri wangu ni 27.
Nimefikia hatua ya kuamua kutoka huku...
Mwaka 2007 Beckam yule mcheza mpira maarufu aliulizwa na mwandishi mmoja kuwa anapenda nini sana akasema kuvaa chupi za mkewe
Beckam hakukosea kabisa nawe onyesha upendo wako kwake kwa njia...
Habari zenu wapendwa
Kuna kitu inatakiwa mjifunze wanaume msiwachukulie wanawake Kama ni viumbe wa kuwafanyia mtakavyo.
Mimi uwa na imani mwanaume ambae anweza mdanganya mtoto wa kike akamtumia...
Pengine ni karne iliyojaa mabadiliko ya kila namna kuanzia, kufikiri kwa mwanadamu, masuala ya kijamii, kiuchumi, na nyanja nyingine zote. Kwa kawaida mabadiliko katika dunia hayana budi kutokea...
Wadau nauliza mnisaidie hivi sheria ikoje inapotokea umemfumania mkeo live na jamii ikajua, ukaamua kuachana na mwanamke wako. Je? mtagawana mali zote ulizovuna naye au atabeba msaraba wake kwakua...
Wanajamvi, ndoa yangu imepangwa kufungwa mwanzoni kabisa mwa mwezi ujao.
Jana, mume wangu mtarajiwa alinipeleka sehemu kwa lengo la kunitambulisha best-man (BM) wake.
Tangu macho yangu yalipotua...
Ndo hivyo wakuu, suala la kusomesha mchumba kila mtu abaki na msimamo wake. Wewe msomeshe ufundi wa cherehani mimi ntasomesha mpaka shahada ya uzamivu.
Mtoto wa mmiliki wa shule za Tusiime...
mwanamke hata kama atakupenda vipi, ujue lazima atatongozwa na wahitaji wengine...
lililobora kwetu wanaume ni kujenga mazingira yakuendelea kuonekana bora kwake, hili litampa uwezo wakuitoa...
Kuna demu mmoja namfukuzia pamoja na changamoto nazokumbana nazo ikiwa ni pamoja na simu zangu kutokupokelewa kwa wakati,sms kutokujibiwa inavyotakiwa,akiniona kama vile anakua na aibu flani ivi...
Kama unawahi kukojoa wakati wa sex na kuchelewa kurudia game (round 2) jaribu hii. Kuna mbinu nimekuwa nikitumia wiki tatu sasa naona ni nzuri ijaribu usiku wa leo halafu utaleta mrejessho.
ipo...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25 Natafuta Mwanaume mwenye Hali Kama yangu.kama unauhitaji wa mtu Kama Mimi plz pm mengine tutajuana mbele ya safari
Mimi ni mwanamke miaka 27 nipo Dar es salaam naishi namaambukizi nya
VVU natafuta mume wa kunioa mwenye hali kama Yangu miaka29 mpka34 awe na afya nzuri awe amejikubali awe mkristo awe tayali...
Mke wa mtu kumpenda mume wa mtu ni sahihi?Nilishawahi kukutana na hali hii,kutokana na moyo kuwa mwepesi nikajikuta tupo pamoja.Mbaya zaidi mwenzangu amezidiwa muda wote ananiita mume wake na mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.