Unamdate mwanamke kwa mapenzi yako unaamua kumsomesha,kumfungulia biashara.baadaye mnashindwana unamwua au kumjeruhi.
Huo ni upumbavu.kama unamsaidia msaidie tu siyo kutuletea misiba ya...
Niko njia panda ingawa nina ugwadu!
Kuna mademu wawili baada muda wote wametiki na kuniahidi kunipa mzigo leo Jumamosi.
Sound zao za pesa wote walinitangazia shida, tukafikia muafaka kwamba...
Wakuu,
Kiukweli mimi ni mbahili hasa, linapokuja suala la kumhonga mwanamke pesa huwa najiuliza mara mia mia so matokeo yake nimejikuta naishia kuwa kwenye mahusiano na wanawake wasiokua na mbele...
Wengine bado hatujaoa, lakini tunayoyaona juu ya wake za watu yanatisha kwakweli kiasi kwamba tunajiuliza mara mbili mbili yuu ya kuingia katika hii tasnia (ndoa).
Ukisema kijana unajiepusha na...
inasemekana moja kati watu wenye nguvu na ushawishi duniani ni raisi wa marekani.
kwa sasa rais wa taifa hilo kubwa duniani ni Donald Trump. licha kuwa rais, pia ni kati ya matajiri wakubwa sana...
Haikuwa kazi rahisi kumshawishi Mwalimu Makoba kuweka makala hii katika blogu yake. Alipomaliza kuisoma katika kompyuta yangu, alicheka kisha akasema, "makala yako itaniharibia wanafunzi wangu!"...
Hello guys.
How would you feel if your husband/boyfriend, wife/girlfriend never posted you on his/her social media?
What would you do? Does social media matter to you?
Me personally, I...
Mchepuko wangu unasema hautaki kushea na mtu yeyote. Sasa hapa nakuwa na mashaka, anamchukuliaje bi mkubwa?
Mabaharia wazoefu, hili mnalionaje? Lina afya kwenye ndoa yangu kweli?
Wadau wa psychology, ninaomba ushauri wenu wa ndoa.
Mume au mke anapoachana na mwenza wake wa ndoa anatakiwa kiafya ya ubongo na mwili achukue muda gani wa mapumziko kabla ya kuingia mahusiano...
Nmejkuta natumia pesa nyingi kuhonga wanawake mtaani ili kufanya nao mapenzi lakini mke wangu sina hamu nae kabisa, na hujikuta nikifika nyumbani ni kula na kulala, yaani hanivutii tu. sasa...
Haya ni mambo ya msingi sana katika maisha iwe kazini, kwenye biashara, urafiki , mahusiano au vijiweni tu.
Mfano. 1.
Mwanamke umemwahidi mpenzi wako mnakutana muda fulani sehemu fulani...
Nafikiria kidogo, na wewe jaribu kufikira,
hivi,ikitokea watu wakafanya utafiti huu,wakawachukua watoto wawili yaani wa kiume na wa kike au watoto kadhaa wa kiume na watoto kadhaa wa kike,kuanzia...
Jamani acheni utani Tanga raha, nilikutana na huyu kaka sehemu anapoishi Dada yangu toka siku hiyo nilikuwa namuona mtu tu wa kawaida huwa akifika pale kwa dada anatabia ya kumwambia anipigie simu...
Matatizo huanza kwa sababu ya kuoa ama kuolewa, mkiwa mmesha-confirm kuishi pamoja ndani ya himaya moja.
Laiti kama kila mtu angekuwa anaishi kivyake, hata baada ya kuzaa sidhani kama mambo ya...
Wanaume tumeumbwa...matesooo...kuhangaika!
Nilipokuwa mdogo nilikuwa sijui maana ya huu wimbo, ila kwa sasa nimejua walichokimaanisha...kutokana na bili zinazokuja kutoka kwa hawa wapenzi wetu...
Habarini za muda wakuuu.
Najikuta napata hamu ya kumdukua shemeji yenu sasa kila ninavyojaribu kumdukua sikuti mchepuko,sio mara mbili au tatu ni mara kibao nafanya hvyo lakini bado naona sms...
Dogo akagharamia kinoma kama Miezi miwili hivi akanionyesha Mtoto picha zake kwenye simu
Mtoto mweupe shep kama Beyonce
Siku anaenda onana nae usiku alikuwa kesha liwa kama Laki Mbili hivi...
Kama kichwa cha Habari kinavyosomeka kuna hii dhana ya "MCHUMBA HASOMESHWI" hii ni dhana potofu na inabidi ikemewe vilivo.
Naanza, kumpenda mwanamke au msichana yeyote ambae una matarajio ya...
Ndo wimbo ambao huwa unanikumbusha kipindi nimelazimika kusafiri kikazi na kumuacha la azizi mbali. Kila ulipopigwa redioni machozi yaninilenga, kipindi hicho nilikokuwa hakukuwa na mtandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.