Kwa wanaume tu: jaribu hii usiku wa leo.

Phdum

JF-Expert Member
Apr 15, 2019
809
1,667
Kama unawahi kukojoa wakati wa sex na kuchelewa kurudia game (round 2) jaribu hii. Kuna mbinu nimekuwa nikitumia wiki tatu sasa naona ni nzuri ijaribu usiku wa leo halafu utaleta mrejessho.
ipo hivi mbali na mambo mengine kama kubadili style mbalimbali wakati wa sex ili nidumu kwenye mechi kwa muda mrefu, pia huwa natumia mbinu hii.
Wakati wa kusex ile round ya kwanza hakikisha bao hilo la kwanza hutumii nguvu wala speed hata kidogo kuitoa.yaani ukianza kuhisi linakuja pump taratibu mno. Ikiwezekana shahawa zitoke kidogo sana, kisha toa mkuyenge ifute/unaweza kuiacha tu humo humo pangoni kama una uhakika shimo litakuwa halijajaa maji. Narudia tena hakikisha hutumii nguvu wala spidi wakati wa kukojoa bao la kwanza najua ni ngumu ila jaribu.
Kwani usipotumia nguvu nyingi kwenye bao hilo la kwanza bado mishipa ya uume wako itakuwa na nguvu na hata uume wako hautolala kabisa. Sasa pumzika kama sekunde 30 kisha anza sasa shuguli ya kutafuta bao la pili. Amini usiamini. Utafurahia show. Jaribu usiku wa leo halafu ulete mrejesho kesho
Pia mbali na mbinu hii pia Kuna mambo muhimu sana yanayopelekea mwanamme kuchelewa kukojoa na hata kudumu kwenye game kwa muda mrefu.
Jiamini(ondoa kabisa wasiwasi)
Mazingira mliyokutania yawe masafi na salama kwenu wote, hii itapelekea wewe kujiamini Zaidi.
Mkubali uliye naye kwa muda huo, kuna watu wanakuwa wanasex na mabinti lakini hisia unakuta anatafuta kwa kumuwaza FATUMA NDALA NDEFU, ndio mkuyenge inashika netwk ya 4G hii inamaanisha yule alienaye hana hisia naye.
Usafi wa mwili ni muhimu kuliko kitu chochote kile. Amini usiamini. Binti/mwanamke ukienda kushiriki nae tendo ukakuta kavunda hamu yote itakuisha.
 
Kama sex ni mradi sawa, unasema tujaribu usiku wa leo, tunajaribu na nini labda?
 
Back
Top Bottom