Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
70,707
186,437
Habari wana,
Kuna kale katabia ka wanawake kuleta usumbufu wa kutoa papuchi kwa ME wao bila sababu ya msingi, sijui ni uvivu ama nini.

Unakutana na jibu mimi sijiskii kufanya...mara tutafanya baadae, halafu unapewa mgongo inakuwa kama unalazimisha kila wakati, huwa mnasuluhishaje hili kwa njia za amani?

Na wale wanawake wenye tabia ya hivyo kubania kidude kwa kuona kupigwa pipe kama usumbufu ilihali ni haki ya ME, huwa mnafikiriaga nini vichwani mwenu?
 
Hili limenichekesha sana leo.
Kumbe kuna wanaume wenzangu mnanyimwa hizo kitu kiukweli ukweli? Mi nilijua ni story za utani.

Daah sasa mimi wife hajawahi kuninyima labda kama yuko P
Sijui cha kufanya endapo siku moja atakuja kuninyima
Nahisi siku hiyo nitakua mnyongeee maana lile jambo halitaki nguvu wala kulazimishana
 
Habari wana,
Kuna kale katabia ka wanawake kuleta usumbufu wa kutoa papuchi kwa ME wao bila sababu ya msingi, sijui ni uvivu ama nini.

Unakutana na jibu mimi sijiskii kufanya...mara tutafanya baadae, halafu unapewa mgongo inakuwa kama unalazimisha kila wakati, huwa mnasuluhishaje hili kwa njia za amani?

Na wale wanawake wenye tabia ya hivyo kubania kidude kwa kuona kupigwa pipe kama usumbufu ilihali ni haki ya ME, huwa mnafikiriaga nini vichwani mwenu?
Nadhani Iceman 3D utakuwa umepata jibu
 
Wazee wa zamani hawakupata hizi shida sababu walikuwa polygamists.........kwa hizi zama polygamy ni ngumu lakini mchepuko ni recommended.
Kuwa na mke mmoja ni kujitesa, haiwezekani mwanamke anayepatwa nyege mara moja moja akalandana na ME anayepatwa nyege kila siku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom