Mwanaume ili upendwe lazima

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,018
2,599
Habari wanajukwaa, wale wa bongo Dar es salaam poleni na mvua za kifurushi cha buku jero.

Naenda straight to the topic kwamba mwanaume lazima uwe una vitu vifuatavyo(PCM), POSITION, CAR, MONEY, Mimi ni victim mkubwa wa vibuti najibiwa majibu Kama (sorry Sina HISIA na wewe), ila ndipo nikafanya research paper ya kutafuta mademu wa kitaa, hapo ndipo walipojua status yangu nipo chuo ndipo shobo zilianza na nimefanikiwa kuwala Kama darasa na nusu. Hivyo kijana mwenzangu ukipewa kibuti jiulize je Ni wa level zako? Una hata ka vitz au ist?,

Je, una nafasi gani katika sekta fulani?

Kama huna bro kwa nguvu zote saka hela hata kama ni mfupi kama mimi utapendwa tu.

Conclusion: Huwezi fika mia kabla hujaanza moja. Usihangaike na vidada vya chuo per day unahonga pakubwa unakula padogo wakati mtaani elfu kumi tu, unapata watoto wakali. We call it a day.
 
A
Habari wanajukwaa wale wa bongo dar es salaam poleni na mvua za kifurushi Cha buku jero.naenda straight to the topic kwamba mwanaume ili upendwe lazima uwe na vitu hivi inshort P.C.M(POSITION.CAR.MONEY) .Mimi Ni victim wa vibuti Sana hasa pale nilipokuwa chuoni nilitokea mdada mmoja alikuwa anatake MD (Dr of medicine) .Aisee nijibiwa sorry Kaka Sina HISIA (feelings) na wewe nikajiuliza Mara mbili kwanini kila siku vibuti Mimi tu,ndipo nikafanya research kwa kutumia methodology ya kuja mtaani na kutokea mademu wa kitaa. A.k.a(wakina ashura,mwajay,arapha)..Aisee wakajua status yangu Ni mwanachuo ndipo wakanikubalia Sasa mtaani nishamaliza Kama darasa zima.Ewe kijana wa kiume usikipigwa kibuti jiulize unapesa?,je una gari?,je una nafasi gani katika sekta fulani?,Kama huna bro kwa nguvu zote saka hela hata Kama Ni mfupi Kama Mimi utapendwa tu... conclusion huwezi fika Mia kabla hujaanza moja..(usihangaike na vidada vya chuo per day unahonga pakubwa unakula padogo... wakati mtaani elfu kumi tu,unapata watoto wa Kali.. we call it a day...!
Na wote kwa pamoja tuseme "Amina"
 
Habari wanajukwaa wale wa bongo Dar es salaam poleni na mvua za kifurushi cha buku jero.naenda straight to the topic kwamba:

,Je? Una nafasi gani katika sekta fulani? Kama huna bro kwa nguvu zote saka hela hata kama ni mfupi kama mimi utapendwa tu.

Conclusion huwezi fika mia kabla hujaanza moja..(usihangaike na vidada vya chuo per day unahonga pakubwa unakula padogo... wakati mtaani elfu kumi tu,unapata watoto wa Kali.. we call it a day...!
We call it a day
In muddy physics voice...
 
Uswahilini mkuu kuna watoto wazuri cheap mno!!nilianza kupanga mbezi kule nmekaa miez kama 9 hiv,siku hiyo naenda tandika kwa bro(alisafiri),yaani nmekaa wiki 2 nimeona kama nilichelewa sana....mbez nlikuwa naonekan hohehahe flan ila uswaz madem wakawa wananiona kama Don flan!!!!dem nmempa 25 alinishukuru kam nmempa roho!!sio wale unatuma 100k anatak na yakutolea
 
Mimi silipendi hilo neno la ‘uswahilini’.

Badala yake nalipenda zaidi neno ‘uraiani’.

Hata ‘uraiani’ totoz kali zipo za kumwaga tu.
 
By nature mim ni mtu bahali Sana tokea nikiwa sec mpka chuo hawa wadada kila naemtaka kinachofanya nakataliwa nilikuja gundua ni ubahili plus hela ilikua yakubahatisha sasa nilipota kazi nikasema nitadeal na wake za watu tu mpka Leo navoandika hapa nishalala na wake za watu wasiopungua 47 ndani ya miak7 hawana gharama ila uwe makini tu
 
hahhhhh....respect is earned not given....
 
...unaonga pakubwa unakula padogo...
Afu kuna mitoto inashindana na kaka zao sijui inavuta bangi,😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom