Kuna demu mmoja namfukuzia pamoja na changamoto nazokumbana nazo ikiwa ni pamoja na simu zangu kutokupokelewa kwa wakati,sms kutokujibiwa inavyotakiwa,akiniona kama vile anakua na aibu flani ivi
Ni mtu mzima almost 27 years lakini pamoja na vimbwanga vyote ivyo sijakata tamaa ya kufukuzia japo naelewa kwamba pengine anamutu mwingine anaficha mimi hanitaki n.k
Leo katokea katukuta mimi na jamaa yangu ambao wote anatufaham, sasa katika kutusalimia,alimsalimia jamaa yangu tu kwa kusema amemuona yeye tu mimi hajaniona-kipengere hicho cjakielewa vizuri please mwenye kuelewa lengo la bidada anifafanulie.