Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natumai hamjambo wanajukwaa, kila mmoja wetu kapitia matukio kadhaa katika mahusiano ambayo ni ngum kuyasahau, hivo nivizuri tukashare ajili yakujifunza. Upande wangu nilikua nakasumba ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Daaah! hili gonjws jamani la UKIMWI linatisha sana kwanza linatisha zaidi pindi unapoenda kupima. Madaktari huwa wanazingua sana na maswali yao kiasi kwamba yanamfanya mtu mpaka anakata tamaa ya...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa jinsi binadamu tunavyojua kuharibu mambo, duniani kusingekuwa na magonjwa ya zinaa watu wangecheza rafu sana, watu wangekuwa wanajiachia tu bila wasiwasi, kusingekuwa na maana yoyote mtu kuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanaume wenzangu ata ile kibeberu tu inatosha, Huwa nafanya hivyo kumrizisha mpenzi wangu pale tu napoona amekamatia mchezo ili nimtie moyo kwa sauti nzito ya kiume. Nb. [emoji16][emoji16] basi...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wanabodi, Hapa kuna taarifa napewa na mtu wa karibu kabisa. Kwa mtazamo wangu naona jamaa bundi kalala kwake. Nadhani hakuna aliemkamilifu kwa namna moja ama nyingine, kila mtu ana...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari ndugu zanguni, Nisiende mbali mwaka juzi kuna mdada nilifanikiwa kuanzisha nae uhusiano,ni raia mwenye mchanganyiko wa Marekani na Mexico. Nilimpata baada ya vijishughuli fulani hivi...
8 Reactions
63 Replies
6K Views
Ebwana mwezi ulioisha yani June nilipata trip ya kikazi jijini mwanza kwa kazi ya mwezi mmoja aisee mwanza kuanzia Ilemela, Mjini, Mabatini,Bugando, Nyegezi etc kuna watoto wazuri sana aisee...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Wazee Weekend Kareem. Kuna kijana wa makamo, ana kama 40 years hivi, anataka kuoa, lakini hana mahari. Alikuwa anafanya kazi kwenye magesi huko Mtwara, alipoingia bwana Mkubwa kampuni yao...
4 Reactions
89 Replies
8K Views
Hivi sasa kumekuwa na jopo la wanawake kurudia wapenzi wao wa zamani baada ya kuona kule walipoenda mambo si mambo. Si kwa wote lakini. Moja kati ya kiu kinachowasumbua viumbe hawa ni ile ndoto...
5 Reactions
62 Replies
6K Views
Habari za wakati huu, ni wikendi tulivu inayosindikizwa na manyunyu ya mvua tokea viunga vya hapa Kigamboni-Kibada. Moja kwa moja niende kwenye mada, nimekuwa kwenye mahusiano na mpenzi wangu kwa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Iam sorry to everyone and any one offended by my post. Najua mmepanic sababu nimesema nimesema yupo humu JF lakini ningekuwa kisa cha muhusika asiejulikana na hayupo JF najua msingepanic hivyo...
24 Reactions
1K Replies
75K Views
Wakuu habari za weekend! Siku za hivi karibuni nilipata bahati ya kuwapm mademu wanne hapa JF. Kwa bahati mbaya sikutegemea kile nilichokiona na kile nilichokuwa nafikia kinaweza kuwa sio sawa...
5 Reactions
72 Replies
6K Views
Kwanini wengi wao utakuta mkienda kulala na mkiwa mnalala nao Kitanda Kimoja utakuwa wanalala vizuri tu lakini pale ukitaka tu 'kumsuuza’ Mama yake haraka sana anaamka na anakuwa mbishi na mkorofi...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Wakuu habarini.. Ni jana mapema, tuliitishiwa kikao cha dharura hapa ofisini baada ya Polisi kuja kumuulizia mmoja kati ya mzee mtu mzima aliekuwa katika kitengo fulani hapa ofisini...
34 Reactions
177 Replies
16K Views
Kwanza niweke wazi mimi ni miongoni mwa binadamu waliokamilika kila idara “Perfectionist”, so sinaga habari hovyo, mimi mambo ni clear huwa sikosei. I’m a serious guy, focused and faithful to GOD...
1 Reactions
78 Replies
6K Views
Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa kabisa, nmetumia kondomu kwa lazima bila hiari yangu. Yule mrembo aliyezingua kunipa penzi siku ile, leo kaingia 18, na kasema bila, kondomu hanipi penzi...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari wanajanvi? Bila shaka wengne mmelela lakn mkiamka mtaukuta huu uzi. Hii mada inahusu wale ambao hujifanya wanajua ku-care pale umeanza mahusiano na she, then wewe ndio kila siku unapiga...
8 Reactions
137 Replies
18K Views
Demu wako anakuja kwako kasuka nywele za 30,000 na hujampa hata mia, wewe unakalia kusema waooo waoooo kama king'ora cha ambulance. Shauri yako we endelea kusema waoooo waooo na atakuwa wao kweli.
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye. Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi. Kumtuma mpumbavu ujumbe, ni kama kujikata miguu au...
9 Reactions
49 Replies
9K Views
Kuna demu nimempata mwezi wa nne huu. Ni msichana mzuri sana kwa umbo, sura na rangi yake. Tumekaa miezi kama miwili sababu nilimfahamu baada ya kuwa nampa lift asubuhi anapoenda kazini. Baadaye...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom