mwanamke hata kama atakupenda vipi, ujue lazima atatongozwa na wahitaji wengine...
lililobora kwetu wanaume ni kujenga mazingira yakuendelea kuonekana bora kwake, hili litampa uwezo wakuitoa nje michomo mikali ya wahitaj wengine.
NB: hata ukutapo text zakutongozwa usireact direct nakumhukum kua kakusaliti no, we unachopaswa nikumwambia kwa upole hujapenda then endelea kutengeneza mazingira yakuonekana bora kwake, ukifanya hivo watamtongoza sana na hawatampata kamwe.