Natamani kughairi kuolewa kwasabb ya best-man

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,696
Reaction score
65,332
Wanajamvi, ndoa yangu imepangwa kufungwa mwanzoni kabisa mwa mwezi ujao.

Jana, mume wangu mtarajiwa alinipeleka sehemu kwa lengo la kunitambulisha best-man (BM) wake.

Tangu macho yangu yalipotua kwa BM huyo akili na mwili wangu vimejaa ganzi. Sijisikii kabisa kuendelea na mipango ya harusi na mume wangu mtarajiwa.

Kwasabb BM huyu amesheheni sifa ambazo hakika ndizo ninazo zihitaji kwa mwanaume.

Nadhani nililazimisha kumpenda huyu mune mtarajiwa, lkn kwa huyu BM penzi limechanua kwa hiari.

Naombeni ushauri wenu, nifanye nn kuuvuka mtihani huu?
 
Mchawi pesa tu dada.
Kwani ukiwa na pesa ndio ruksa kutafuta unachokipenda, lakini ukijijua wew ni wale wa sina kipato, walahi hisia zako zitakufanya uwe ombaomba mtaani.
Kama pesa ipo, kauli ni moja tu sitaki ndoa nimegahili kuolewa.
 
Wanajamvi, ndoa yangu imepangwa kufungwa mwanzoni kabisa mwa mwezi ujao.

Jana, mume wangu mtarajiwa alinipeleka sehemu kwa lengo la kunitambulisha best-man (BM) wake.

Tangu macho yangu yalipotua kwa BM huyo akili na mwili wangu vimejaa ganzi. Sijisikii kabisa kuendelea na mipango ya harusi na mume wangu mtarajiwa.

Kwasabb BM huyu amesheheni sifa ambazo hakika ndizo ninazo zihitaji kwa mwanaume.

Nadhani nililazimisha kumpenda huyu mune mtarajiwa, lkn kwa huyu BM penzi limechanua kwa hiari.

Naombeni ushauri wenu, nifanye nn kuuvuka mtihani huu?
Kwaiyo kukupeleka kwa best man ndounataka uniache.
Sikujua kama wewe ni wahivyo.
 
Mimi ndo huyo BM nishajua unanitaka mbona
Wanajamvi, ndoa yangu imepangwa kufungwa mwanzoni kabisa mwa mwezi ujao.

Jana, mume wangu mtarajiwa alinipeleka sehemu kwa lengo la kunitambulisha best-man (BM) wake.

Tangu macho yangu yalipotua kwa BM huyo akili na mwili wangu vimejaa ganzi. Sijisikii kabisa kuendelea na mipango ya harusi na mume wangu mtarajiwa.

Kwasabb BM huyu amesheheni sifa ambazo hakika ndizo ninazo zihitaji kwa mwanaume.

Nadhani nililazimisha kumpenda huyu mune mtarajiwa, lkn kwa huyu BM penzi limechanua kwa hiari.

Naombeni ushauri wenu, nifanye nn kuuvuka mtihani huu?

nilikua nahisi tu ila baada ya kuona uzi wako ndo nimethibitisha.
Nimeshajua cha kifanya ila sitamuambia mchumba wako.
 
Leo umetoa dushe na kuotesha papuchi. Sijui una matatizo yepi mpaka nyuzi zako mara uwe ME mara KE.

Wanajamvi, ndoa yangu imepangwa kufungwa mwanzoni kabisa mwa mwezi ujao.

Jana, mume wangu mtarajiwa alinipeleka sehemu kwa lengo la kunitambulisha best-man (BM) wake.

Tangu macho yangu yalipotua kwa BM huyo akili na mwili wangu vimejaa ganzi. Sijisikii kabisa kuendelea na mipango ya harusi na mume wangu mtarajiwa.

Kwasabb BM huyu amesheheni sifa ambazo hakika ndizo ninazo zihitaji kwa mwanaume.

Nadhani nililazimisha kumpenda huyu mune mtarajiwa, lkn kwa huyu BM penzi limechanua kwa hiari.

Naombeni ushauri wenu, nifanye nn kuuvuka mtihani huu?
 
Litakuwa dume ila ana element za usengee kwa karibu saaana....
Leo umetoa dushe na kuotesha papuchi. Sijui una matatizo yepi mpaka nyuzi zako mara uwe ME mara KE.

Leo umetoa dushe na kuotesha papuchi. Sijui una matatizo yepi mpaka nyuzi zako mara uwe ME mara KE.

Unajua hivi hivi ndivyo wanaanza mpaka wanatolewa marinda.
 
Na storii zakoo za kutungaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom