Vijana karibuni tuambizane changamoto tulizonazo na jinsi ya kuzitatua

Status
Not open for further replies.

Camp Lehigh

JF-Expert Member
Nov 20, 2018
335
612
Karibuni vijana wa kike na wakiume nawakaribisha kwenye uzi huu , Labda una changamoto yoyote inayokukabili kwenye maisha hujui jinsi ya kuitatua iweke hapa kuna watu wanaweza kua wmepitia nao changamoto hiyo
Iwe changamoto ya kimahusiano,familia , jamii,uchumi,magonjwa nk
Karibuni. Tusiweke matatizo moyoni unapomuambia mwenzio unakua inaelekea kutatua changamoto.
Karibuni
 
Uko na mume ni malaya, anafukua adi mitaro na KY jelly anatembea nazo adi kiasi cha kuja nazo ndani, msaada wake tafadhali
Piga chini Huyo ni shetani atakuletea maradhi Kwanzaa amemkosea muumba na tabia ni kama ngozi huu ni ushauri wangu mlevi

Au mkanye mpe somo mshitaki kwa wazazi wake akatubu kwa muumba muendelee na ndoa huu ni ushauri wa ma popoma
 
Mtoa mada ushamalizana na changamoto yako zidi ya huyu binti SweetieLee au unasubir ufumbuzi hapa

Na Mimi Nina changamoto
Siku hizi nikinywa pombe sisikiiii ladha kabisa natema nikijitahid kunywa nikimaliza roho inaniuma inanisuta najutia nikilala naota mauza uza au ndo nakaribia kufa nini
 
Wakuu mimi na tatizo kidogo..naogopa sana watu wa jinsia tofauti na yangu. Yaani kupishana na wanawake watatu njiani bora nikutane na mbwa sitaogopa. Ila girls nakua adi natetemeka..! Shida nini? Nifanyaje ili nisiogope wanawake?
 
Uko na mume ni malaya, anafukua adi mitaro na KY jelly anatembea nazo adi kiasi cha kuja nazo ndani, msaada wake tafadhali
JE unampenda, unaridhia akikufanzia hivo. kama umemruhusu adi akuingilie labda wapenda kama hupendi achana nae mwanaume akupendae hawezi kukufanyia hvo
 
Mtoa mada ushamalizana na changamoto yako zidi ya huyu binti SweetieLee au unasubir ufumbuzi hapa

Na Mimi Nina changamoto
Siku hizi nikinywa pombe sisikiiii ladha kabisa natema nikijitahid kunywa nikimaliza roho inaniuma inanisuta najutia nikilala naota mauza uza au ndo nakaribia kufa nini
sikufanikisha kwa mkuu sweetielee
acha mara moja. amua kuacha, kaa na watu wasio kunzwa jiweke biye na kitu kingine. ukisikia kiu usinzwe jizoeye utazoea
 
Uko na mume ni malaya, anafukua adi mitaro na KY jelly anatembea nazo adi kiasi cha kuja nazo ndani, msaada wake tafadhali
mpe wewe mtaro tu hamna namna hapo

muanzishie sobber house humo ndani

mpe dose ya mtaro tatu kwa wiki then unashuka mara mbili then 1

mwisho kabisa unamuokoa mume wako

Wakti mwingine ili kumuokoa mlevi yakubidi unywe hata ki tasker lite ki 1 ili story zinoge

Maana walevi huwaelewa walevi wenzao.
 
Mtoa mada ushamalizana na changamoto yako zidi ya huyu binti SweetieLee au unasubir ufumbuzi hapa

Na Mimi Nina changamoto
Siku hizi nikinywa pombe sisikiiii ladha kabisa natema nikijitahid kunywa nikimaliza roho inaniuma inanisuta najutia nikilala naota mauza uza au ndo nakaribia kufa nini
leo sijamuona kbsa SweetieLee vijiwe vyake vyote wanasema hajaonekana
 
Pole ila changamoto yako nyepesi kama unyoya wa kifaranga cha kuku kilichoanguliwa leo. Utatuzi, nunua na wewe hayo mazaga kama yake na utembeenayo ktk pochi yako, hakikisha vinaonyesha kutumika, ukirudi home chelewa kisha ukifika iweke pochi hovyo ili aisachi, siku akivikuta hivyo vitu na kukuuliza mwambie ulimnunulia yeye ila ulisahau kumpa maana unavikutaga ktk suruwali zake kila ukifua.
 
Wakuu mimi na tatizo kidogo..naogopa sana watu wa jinsia tofauti na yangu. Yaani kupishana na wanawake watatu njiani bora nikutane na mbwa sitaogopa. Ila girls nakua adi natetemeka..! Shida nini? Nifanyaje ili nisiogope wanawake?
Haha wanaita caligynephobia au venustaphobia yaani fear of beautiful women unawaogopa watoto wa kike sio wazur sio wabaya

Ingekuwa una hatred or ill will towards them hio ni mbaya sana inaitwa gynephobia

Inaonekana wewe sio mtu wa watu sio wa kujichanganya hata rafki zako ni wachache na wengi sio wanawake hapo kidogo lazima iwe ngumu Ku interact nao ukikutana nao

Au you have been put down or insulted severely by women hili pia ni sababu

Au you never interacted with girl of your age group

Cha kufanya
Ondoa hio mentality kichwani pia you are afraid what they might think of you ondoa ilo wazo waone kawaida

Recognize the fact they are just female ni watu kama wewe hawan'gati

Jichanganye nao tafuta marafiki wa kike interact nao hili pia litakupa confidence acha kujifungia ndani na PC yako unaangalia animation nenda kajichanganye nao

Mimi Nina pombephobia napenda pombe kuliko mademu
 
mkuu hua najiambia hayo yote kichwani ila tatiyo aibuuuu. sijui zatoka wapi kwakweli, nikiona wasichana nakua mdogo mno siongei kabisa kama sio kuhama. mpaka mtu nimzoee sana.
mimi nawashangaa sana nyie mnaopata madem sijui mnafanyaje. Hua siendi kutoa sadaka sometimes ajili ya hiki..kama nimekaa sehem inayobidi nipite mbele ya wadada mimi siendi
 
If you can't defeat em, join em
Wakuu mimi na tatizo kidogo..naogopa sana watu wa jinsia tofauti na yangu. Yaani kupishana na wanawake watatu njiani bora nikutane na mbwa sitaogopa. Ila girls nakua adi natetemeka..! Shida nini? Nifanyaje ili nisiogope wanawake?
 
Status
Not open for further replies.
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom