Wale tuliowahi kutongoza mademu tukakubaliwa kisha tukaingia mitini hata kabla ya kula mzigo, tukutane hapa

Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
10,276
18,353
Wakuu leo tukiwa tunahesabu muda mfupi kuingia mwaka mpya, niko mwenyewe nikaanza kukumbuka baadhi ya mambo ya ujana plus ujinga niliowahi kuufanya wakati mihemko iko 4G.

Hakika ujana maji ya moto, niliwahi kumtamani mdada flani, alikua na kazi na shepu ilikuepo kiaina plus rangi ya mtume kwa mbali. Sasa nikamuingiza kwenye 18 akajaa.

Kimbembe ni wakati wa promise mara ya kwanza tulionana japo sikua kwenye mood ya kumega, tukapiga stori mingi nikaaga nikasepa, ila katika stori nikabaini demu ana njaa japo anakazi, namimi nilivyokua bahiri sitoagi hela bila kula mzigo kwanza.

Siku nyingine akanipigia simu, oooh baby niko hospital hapa kuna mtu nimekuja kumuona anaumwa uchungu so naomba tuonane nikitoka hapa, kidume nilikua home nacheki TV basi fasta nikavaa nikatoka kufika eneo la tukio nakuta yuko na wifi yake(mke wa kaka yake), tukanywa soda pale stori chache nikaaga.

Sasa niseme kilichopelekea nimuache solemba bila kumega tunda, Mimi hua namsoma mwanamke kwa bidii sana, sikatai kua na mwanamke mwenye njaa wala sikatai kwamba hua sihongi hata 100, nahonga ila kwa sababu maalum. Nilichomsoma yule demu ni kuendekeza njaa, yaani alinichukulia Kama mimi nina mahela mengi sana jambo hilo lilinikwaza mno.

Last time alinipigia simu tukutane tukaduu, huwezi kuamini namkwepa mpaka leo

Nachukulia hili jambo kama sehemu ya ujinga niliowahi kufanya, maana nilitongoza mwenyewe cha ajabu naanza kuzima simu na kublock calls.

Najua watu mliowahi kuwakwepa mademu mpo hebu tupeni uzoefu wenu.
 
Attachments

  • tapatalk_1514477551019.jpg
    tapatalk_1514477551019.jpg
    8 KB · Views: 96
Yaani na wewe kiongozi ulishindwa kabisa maujanja suplaya ya kumla kwanza halafu ndio usepe...
Hapo ulivyozingua hata demu anaweza kuhisi wewe ni jumba la makumbusho tu.
Pamoja na uroho wake ulitakiwa umzidi ujanja,umkule kisha unapotezea...
Nimekuvua nyota zote...
Kuna hali flani ya kupoteza interest hua inanitokea, naweza kumtongoza mtu then nika block namba yake
 
Nina hilo tatzo sana mpk nahc pengn hk si kitu cha kawaida, hata kama si kwa mizinga, sijui ni nini kinanijia nampotezea hata akiwa tayar kuachia mzigo inafka mda nampotezea, mi napendaga sana ile seen ya kutongoza baada ya hapo mood inashuka, nilishapotezea wanne japo mmoja ni kwa ajili ya vizinga, ila ni hasa ni tukiwa mbali
 
Mimi siwezi kuacha kuila ni bora nisimtongoze kabisa maana ukimtongoza akakubali alafu uingie mitini bila sababu atajiuliza maswali mengi sana, either hujiamini au una kibamia
 
Ndo maana kuna Dada ukimuimbisha ana ringa haamini kumbe kuna wababaishaji wengi hivi..
Naamini ni watu wa Daresalama ( povu rukhusa )
 
dah..!!!.
Nakumbukaga nilimtimua demu guest baada ya kuniletea maringo yasioeleweka wakati huo tupo watupu akagoma akajua labda nafanya utani nikavaa mimi kisha nikaamsha nikamwacha pale
Behind the scene ina mengi.
Mkuu, naomba utujuze tafadhari
 
Mimi siwezi kuacha kuila ni bora nisimtongoze kabisa maana ukimtongoza akakubali alafu uingie mitini bila sababu atajiuliza maswali mengi sana, either hujiamini au una kibamia
Whatever mkuu
Mi nikipoteza interest sinaga muda tena, hata demu akinizingua Mara ya kwanza mara ya pili ndo nafuta namba hivyo, nimekua na akili flani ya ku-ignore mtu.

Naweza kua nimemzia balaa ila akianza kunizungusha mara anatoa ahadi hatimizi aisee ndo bye bye yake.

Suala la kibamia na flat screen ni Mambo ya maumbile, alifanya kazi muumba sisi binadamu hatuna namna tukubaliane na hali tu.
 
Mimi hamu huwa inaisha nikiona anataka kujilipa hela za makinikia kupitia mimi, yani fasta namwekea ile alama kama ya wakazi wa kimara kwenye nyumba zao
 
dah..!!!.
Nakumbukaga nilimtimua demu guest baada ya kuniletea maringo yasioeleweka wakati huo tupo watupu akagoma akajua labda nafanya utani nikavaa mimi kisha nikaamsha nikamwacha pale
Sasa Hapo ulimtimua au ulitimua wewe???
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
 
Mi hizo zimenitokea sana.sijui huwa naingia uvivu gani??!!
Nadhani nimeingia mitini sana kuliko kuwatafuna
 
Wakuu leo tukiwa tunahesabu muda mfupi kuingia mwaka mpya, niko mwenyewe nikaanza kukumbuka baadhi ya mambo ya ujana plus ujinga niliowahi kuufanya wakati mihemko iko 4G.

Hakika ujana maji ya moto, niliwahi kumtamani mdada flani, alikua na kazi na shepu ilikuepo kiaina plus rangi ya mtume kwa mbali. Sasa nikamuingiza kwenye 18 akajaa.

Kimbembe ni wakati wa promise mara ya kwanza tulionana japo sikua kwenye mood ya kumega, tukapiga stori mingi nikaaga nikasepa, ila katika stori nikabaini demu ana njaa japo anakazi, namimi nilivyokua bahiri sitoagi hela bila kula mzigo kwanza.

Siku nyingine akanipigia simu, oooh baby niko hospital hapa kuna mtu nimekuja kumuona anaumwa uchungu so naomba tuonane nikitoka hapa, kidume nilikua home nacheki TV basi fasta nikavaa nikatoka kufika eneo la tukio nakuta yuko na wifi yake(mke wa kaka yake), tukanywa soda pale stori chache nikaaga.

Sasa niseme kilichopelekea nimuache solemba bila kumega tunda, Mimi hua namsoma mwanamke kwa bidii sana, sikatai kua na mwanamke mwenye njaa wala sikatai kwamba hua sihongi hata 100, nahonga ila kwa sababu maalum. Nilichomsoma yule demu ni kuendekeza njaa, yaani alinichukulia Kama mimi nina mahela mengi sana jambo hilo lilinikwaza mno.

Last time alinipigia simu tukutane tukaduu, huwezi kuamini namkwepa mpaka leo

Nachukulia hili jambo kama sehemu ya ujinga niliowahi kufanya, maana nilitongoza mwenyewe cha ajabu naanza kuzima simu na kublock calls.

Najua watu mliowahi kuwakwepa mademu mpo hebu tupeni uzoefu wenu.
Hahahaha bro sisi wazee wa next hatupelekeshwi. Yani mwezi huu huu, nilienda duka la saa(luxury). Nikamkuta mdada flani hivi amazing. As usual mimi mcheshi, nikaulizia Rolex Submariner. Anyway saa sikuikuta. Akaniambia sijaleta mzigo bado but nitakuletea wewe kama wewe wiki hii. Nikajua hapa kwasababu nimekuja mcheshi ndio maana kanifanyia favor.

Wakati nasepa akaniuliza mbona Rolex Explorer II nzuri zaidi, nikamwambia nataka hiyo ya Submariner. Akasema poa. Then akaniambia nitakupataje naomba No yako. Simindigi kabisa a girl aniombe number, Mimi ndo nataka kutake the lead. Nikampa simu aandike yake. Nilimtext hapo hapo. Then huyooooo nikaamsha.

Later usiku akanitafuta, akaniambia kwa skin tone yako Gold color itakufaa. Nikajua ahh this girl is friendly. Tukaongea kawaida. Later kidogo akaanza kuniita 'babe'. As you know sisi guys fursa kama hizi tunazikubali sana. Hapo voice notes mpaka sauti akabadilisha.

Fast forward, next day akaniambia niende kufata the watch. I went nikalipia... Service was good aisee. Kabla sijasepa akaniuliza 'am I not attractive?' heheheheh fast forward akaniambia nitoe out Christmas. Nikamwambia I have a girlfriend. Akasema sio lazima ajue. Nikamwambia nitakucheki. Later at night, as we were talking, out of nowhere akaniambia naondoka kesho kwenda kwetu Singida for Christmas. Nikamwambia safari njema. Then akajibu hata hela ya soda hunitumii babe wangu. Nikamwambia now it's late sina jela Mpesa, maybe kesho. For reals ningemtumia hata 10k. Aliponizingua ni kwamba alianza sijui home mama anaumwa Ile hela uliotaka tutoke nipe. Kuhhhh nikamwambia kesho tutaongea. Conversation went on. Nikamwambia I want to spend time with you kwanza. Akaniambia akirudi atakaa kwangu wiki nzima just for me.

Kesho yake morning nikablock number, alikuwa ameacha voice note hiyo 30s long. Full romantic tone ya kuniaga. Next day akapiga I didn't pick up na nikablock normal calls pia.

Conclusion: this girl analipa kwa kweli, red flag ni kwamba yeye mwenyewe yupo freshi kuliko mimi na bado ananipiga mizinga. Even worse tumejuana in just a day. Nikasema hapa wakina Ghost wapo wangapi, tumepangwa. A girl like her atawapata wakina Manji wengi tu, mimi siwezi mwendo wako.

-callmeGhost
 
Damn!!! I came across unfortunately with your comments.

One thing I discovered, you guy is a pro, don't ask me in which aspect.
 
Back
Top Bottom