Watoto nje ya ndoa, "wanalipa"

Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,091
1,202
Ni mara chache sana watoto wa kwanza kwenye familia kuwa 'watu' maishani. Mara nyingi watoto wa katikati na surprisingly nje ya ndoa ndio hutoka.

Mifano iko mingi kwenye vitabu vitakatifu lakini mfalme Suleiman ni mfano hai. Huyu alikuwa mtoto ambaye Mfalme Daudi alizaa na mke wa mtu... Batsheba, Daudi mwenyewe hakuwa mtoto wa kwanza wa Yesse.

Kabla ya hapo mzee wetu Yacobo aliukwaa urithi wa Isaka ingawa hakuwa mtoto wa kwanza huku akimfunika Esau!! Fate decided otherwise.

Sina hakika kama Alexander the great alikuwa mtoto wa kwanza wa Philip. Cleopatra oua hakuwa mtoto wa kwanza. Alikuwa na makaka kibao. lakini cheki mziki wake. Katika karne zilizopita kuna mifano mingi. Kwa mfano George Washington hakuwa mtoto ndani ya ndoa ya kwanza ya baba yake. Alikuwa mtoto wa mke wa pili wa baba yake. Lakini ndiye rais wa kwanza wa Marekani.

Katika karne za karibuni kuna mifano mingi. Mwalimu Nyerere hakuwa mtoto wa mke wa kwanza wa mzee Burito Nyerere.
Obama hakuwa mtoto wa kwanza wa Obama Sr. Baba yake "alimpata" baada ya kupata scholarship kwenda kusoma US. Kabla ya hapo akiwa na a couple of children nchini Kenya. Hata Rais wa Sasa wa US si mtoto wa kwanza wa mzee Trump. Ana maDada na kaka. Clinton mwenyewe kalelewa na baba wa kambo!! Sina hakika kama jiwe ni mtoto wa ngapi.
Ukipata mtoto na hawara usimtupe. Huwezi kujua atakuwa nani. Fate inaonesha mara nyingi wanalipa!!
 
Hao ni wachache tu waliofanikiwa. Watoto wa nje ya Ndoa mara nyingi huwa wanatelekezwa na Baba zao. Wanasoma kwa shida sana. Ndio wanaosababisha Mama zao waitwe singo Mother na kuwakosesha bahati ya kuolewa Mama zao. Na watoto hawa wengi wao wanapokuja kuoa huwa wanakuwa wepesi sana wa kutoa talaka kwa kuwa hawajajifunza uvumilivu wa upendo toka kwa wazazi wao.
 
Kweli mkuu,mi sikatai mtoto wa nje kama nikithibitisha ya kuwa ni wa kwangu
 
Back
Top Bottom