Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ndo niliamua kumuacha huyu binti kutokana na sababu zangu binafsi ambazo ziko nje ya uwezo wangu. Nilifuta na namba yake kabisa, kumbe yangu ameikariri. Kinachoendelea sasa hivi ni kila...
2 Reactions
57 Replies
7K Views
Ndug zangu, Nimefanya utafiti nimegundua kuwa asilimia 80% ya wanawake hutegemea pesa za wanaume. Wengi wao hawana mtazamo wa kutafuta njia mbadala ya kutafuta pesa zaidi ya kukwambia " bby...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Walioana wakiwa wafanyakazi kazi wote wawili, walizaa watoto wawili. Baadae mwanaume aliondoka aliondoka nyumbani.. Yule mama alihangaika kulea watoto, si haba alifanikiwa kuwasomesha watoto na...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi nina miaka 38 sasa, msomi wa elimu ya juu na nina kazi nzuri pia, nilikuwa naishi vizuri na wazazi wangu wawili I mean baba na mama, sasa hapa juzi baada ya ugomvi, mama ameondoka nyumbani na...
59 Reactions
142 Replies
26K Views
Leo lasmi naachana na mke wangu nnae mpenda sana na tumezaa mtoto mmoja kwasababu ambazo ziko nnje ya uwezo wangu imebidi nikubali kumuacha aendelee na maisha yake ambayo anaona yatakua bora na...
4 Reactions
61 Replies
18K Views
Holla people of MMU, Kasinde Mahaba met Big G yesterday and this is what he has been whispering to her since.... Now, I'm not trying to be rude but hey, pretty girl, I'm feelin' you The way you...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Kama mada inavyosema Xmas hii ntakuwa moshi kuhesabiwa kama ilivyo ada.Huko ataangushwa ng'ombe sijui mbuzi ila damu lazima itamwagika..[emoji28] Mwaka mpya ntakuwepo dar na wanangu kama...
3 Reactions
4 Replies
974 Views
Kuna haka katabia ka kuvalishana pete kwa surprise bila makubaliano maalum wala kuwashirikisha wazazi wa pande zote mbili wengine utakuta anamfanyia surprise mpenzi wake kwa kumvalisha pete ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa sasa wadau nipo manzese kwa muda huu kuna utafiti nafanya ...ila nimekuja kungundua manzese ni eneo linaloongoza kwa biashara ya ngono...kuanzia mitaani mpaka guest house...tukianza maeneo...
6 Reactions
223 Replies
81K Views
Hapa nipo nacheka yaani nimetolewa shombo moja ya maana, matusi na kila aina ya maneno, Kisa tu nimekataa kumtumia hela ya kijora, Ndani ya wiki mbili tu alishaniomba hela ya sare ya dera...
12 Reactions
40 Replies
8K Views
Nimekwazika sana na baadhi ya wanaume washamba wa magari, wanadhani wanawake wote ni washamba wa magari. Magari siyo issue siku hizi. Natembea zangu kwa miguu kutafuta voucher taratibu pembeni ya...
18 Reactions
75 Replies
6K Views
Aiseeee swalamaaa? Husika na mada tajwa hapo juu, hili kitu limekaaje aiseee. Hizi vitu ni adimu sana kuvikuta vimekaa pamoja. Na hii nahisi ina maana tangu uumbaji, wanawake wenye ‘chura’ za...
6 Reactions
106 Replies
20K Views
Kichwa kinajitosheleza. Sometimes huwa nawasikia rafiki zangu au vijana maoneo mbalimbali wakijisifu kumtwanga mwanamke goli 4, 5, 6 na wengine hata 7. Si vibaya kufunga goli nyingi, ila swali ni...
13 Reactions
35 Replies
7K Views
mabibi na mabwana habari za muda na wakati huu! Nina mpango wa kuanzisha mgahawa wa hadhi ya kawaida maeneo ya stendi ya sabasaba jijini dodoma. Kwenye stendi ya daladala. kichwani pangu nauona...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Habari zenu humu ndani. Binafsi naichukia sana tabia ya wadada wanaopenda kuliwa 'tigo'. Yamenitokea sikuamini! Siku chache zilizopita niliachana na mpenzi wangu kutokana na mambo flani flani ya...
9 Reactions
208 Replies
73K Views
Pitia hapa huyu ameelezaaa yotee, Watoto wa huku wote wakali, ukashindwa jua na geti kali na yupi changu, Asilimia 60% wanachojali ni Cash Aisee Mungu niepushe na hawa watoto, maana ni wazuri...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Wadada tu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Zipo Ndoa ambazo mke na mume wanaishi tu kwa sababu ya watoto, au kuogopa kupoteza nyumba, au mali kwani utamu na raha ya Ndoa imetoweka, hata hivyo kila kitu kina chanzo na ni muhimu kujua chanzo...
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Kwanza kabisa kamwe sitamuonea wivu mwanamke ambaye sijamkuta bikra. Cha pili, siwezi kumpatia pesa mwanamke ambaye bado sijamvua pichu, labda tu niamue kutoa msaada wa kibinadamu pale inapobidi...
13 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom