Kuna haka kamaneno umewahi kukasikia "baby nikuambie kitu"

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,686
31,470
Habari wana JF

Katika heka heka za maisha na kukwepa mikingamo, unaweza ukajikuta uko na baby drama unapunguza stress, basi kuna ile message pendwa BABY NIKUAMBIE KITU, yaani hapo unajua tu ni invoice, nyinyi wadada wa mujini embu punguzeni mizinga.
 
Hapo jibu lake ni SINA.
We sema tu sina basi
 
Wanaume bwaana, sio kila 'babe nikuambie kitu' ni ya kuomba pesa, wengine 'babe nikuambie kitu' ni kuandaa mazingira ya kumuhadithia ka story ka utamu njoo kolea..!! 😂 😂
 
Mwanamke akianza kuesema katika stori "Kwanza" hapo ana data na ushahidi wote wa jambo atakalo kutuhumu.
They're so intelligent
 
QUOTE="SweetieLee, post: 33321420, member: 519072"]
Mimi sijawahi tumia hilo neno kusema shida yangu.!
Ninakwenda direct kwenye mada kama niko na shida.!!
[/QUOTE]

Ok sawa. Lucky you ila wengi ni invoice
 
Habari wana JF

Katika heka heka za maisha na kukwepa mikingamo, unaweza ukajikuta uko na baby drama unapunguza stress, basi kuna ile message pendwa BABY NIKUAMBIE KITU, yaani hapo unajua tu ni invoice, nyinyi wadada wa mujini embu punguzeni mizinga.
Mkuu nikionaga huu ujumbe huwa napiga flight mode kwa masaa yasiyo pungua 48 then baada ya hapo namtumia ujumbe wa "Tafadhari niongezee salio" mpaka hapo anakuwa hakumbuki Tena hicho kitu na Maisha yanaendelea Kama kawaida.
 
Hii ni hatari sana, weka mbali na watoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom