Nilichojifunza kwenye mapenzi: Kama huna moyo wa kutoa, sahau kupata faraja ya mapenzi

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,355
40,227
Nilichojifunza kwenye mapenzi, kama huna moyo wa kutoa, sahau kupata faraja ya mapenzi. Hata maandiko yanasema, jinsi unavyotoa ndivyo unavyozidi kujiongezea baraka katika maisha yako.
 
Nilichojifunza kwenye mapenzi,kama huna moyo wa kutoa...sahau kupata faraja ya mapenzi. Hata maandiko yanasema, jinsi unavyotoa ndivyo unavyozidi kujiongezea baraka katika maisha yako.
Mkuu, naona una changanya biashara na mapenzi eehhh....!!
Ohhh.. Sorry kumbe unazungumzia mapenzi, minikidhani Ndoa...teh

Naona nimepotea jukwaa wallahi..
 
Mkuu, naona una changanya biashara na mapenzi eehhh....!!
Ohhh.. Sorry kumbe unazungumzia mapenzi, minikidhani Ndoa...teh

Naona nimepotea jukwaa wallahi..
ha ha ha wanasema kutoa ni muhimu zaidi kuliko kupokea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom