Haya ni mambo ambayo ni kero kwa mpenzi au mke/mume na pia wakati mwingine ni ngumu kumwambia live

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,318
Wadau,

Hili nimeona niliseme maana kuna mambo ambayo nimewahi kukutana nayo katika kuhanja kwangu (kupitia pitia wasichana nikakumbana nayo) ilikuwa mtihani sana na nikawa nawaza namna gani ya kuwaambia wahusika tukiyaandika hapa wanaweza kusoma na kujirekebisha.

1. Nimeshawahi pata msichana mmoja mkali sana mzuri wa figure na sura alikuwa amemaliza degree yake chuo flani akawa amepata ajira Bandarini wakati huo Bandarini, Bandarini kweli. alikuwa na tatizo la kunuka mdomo bad breath kwa lugha ya malkia nilikuwa nashindwa kumkiss mdomoni, niliachana naye baada ya miezi miwili.

2. Niliwahi kuwa na dada mmoja mkoa flani she was pretty so pretty and natural ila alikuwa na jasho kali sana, yaani akifika home mkaingia room hali ya hewa mle ndani inabadilika kabisa nikawa namshauri anunue body spray au deodorant na mwishowe nikawa namnunulia lakini sikuona mabadiliko, niliachana naye ingawa nilikuwa nampenda ila hali yake ilikuwa mbaya sana.

3. Kuna dada flani yeye alikuwa na shida sehemu yake ya siri huyu nilisoma naye chuo alikuwa kama na fungus wa kudumu (sijui ni fungus au nini) ilikuwa sehemu yake inatoa harufu sometime na sometime haitoi ila inakuwa na maji mazito meupe so ikawa ni lazima kutumia condom wakati wote.

Tulishazunguka sana kwa madaktari haikusaidia ikawa anaweza pona kwa muda kidogo then ikarudi akaja kunisababishia nami nipate vidonda kwnye ulimi vilinitesa kama week 3 nikahisi nina ngoma hata kula ilikuwa siwezi kula baadaye daktari mmoja akaniandikia dawa za bei rahisi sana nikapona kwa hizo wakati nlishahangaika sana na madawa makali ya gharama.

4. Nlikuwa na lidada limoja hili ni la miaka mingi sana limeolewa ni linene sana ila halipo smart sana nalo jasho ilikuwa issue yaani ni jasho lina harufu mpaka mkikutana cha kwanza ni kumshauri akaoge kwanza then mkifanya kidogo akaoge tena.

5. Kuna mdada mmoja yeye sehemu yake ya siri ilikuwa na harufu yaani mpaka unashindwa kufanya anye au unabana pumzi but alikuwa mzuri sana na huku nje anavutia sana na msafi, ukienda kule ndani ukaingia aisee..kuna harufu kali sana. Unakatika stim kabisa ilikuwa ngumu kumwambia ila nadhani akija hapa akasoma anaweza elewa akajitahdi kujirekebisha.

Haya mambo sometime ni vigumu kumwambia mhuska moja kwa moja lakini ni kero na pia huweza sababisha uhusiano kuvunjika.
 
Kabla ya kutafuta njia za kukabili watu kama hao jiulize inakuwaje unavutia watu wenye mfanano wa dosari. Wazungu wana kamsemo kao "Birds of a feather flock together"........ Just saying.
Na pia una moyo, yani unaona utoko wenye harufu na bado unachomekamo humo humo na mpaka kupata vidonda vya mdomo inamaanisha ulienda uvinza kabisa......
 
sikuwah kwenda uvinza ila nadhani ilikuwa tu ni effect ya bacteria. huwa siendi huko kabisa .... ni mambo ambayo huwa siyawezi.
na hao nimekwambia ni watu ambao katika 100 nlikutana nao. unapokuwa na watu mbalimbali mnakutana wenye sifa mbalmbali.

Kabla ya kutafuta njia za kukabili watu kama hao jiulize inakuwaje unavutia watu wenye mfanano wa dosari. Wazungu wana kamsemo kao "Birds of a feather flock together"........ Just saying.
Na pia una moyo, yani unaona utoko wenye harufu na bado unachomekamo humo humo na mpaka kupata vidonda vya mdomo inamaanisha ulienda uvinza kabisa......
 
Mkuu, huo ni ukweli. Mimi nilikuwa na mmoja alikuwa mkavu sana, yaani hata umwandae namna gani halowi, ukiingia na kinga huwezi kupenya ndani, inabidi uende kavu tena kwa kuweka mate, hata ukimwaga bado yeye anakuwa mkavu.

Siku ya kwanza nilithani hajanizoea, mara ya pili baada ya mechi nikamwuliza mbona wewe mkavu hivyo ? akasema ana shida hiyo, ikabidi niachane naye maana niliona kinachofuata sasa ni kuchuana na kumbukizana magonjwa.
 
mama ukisoma Title utagundua imeandikwa kwa kila mtu atoe uzoefu wake kwa kusikia au kuona. na lengo ni kurekebishana mumeo hawezi kukwambia. trust me na huwezi juma kama maybe mimi ndo mumeo nimekuja kuweka hapa sababu siwezi kukwambia. haya mambo kumwambia mtu live ni ngumu sana. unaposoma humu ndo unajitathmin "JAMIIFORUMS IS A PLACE WHERE WE DARE TO SPEAK"

ila wanaume wa humu kwa kuchafua wanawake tu hamjambo, khaa nashukuru Mungu kunipa mume mapema manake ningeweza kukutana na janga la wanaume wa jamii forum
 
Nimeshawah mwambia mmoja hakuwa mpenzi wangu akanijibu " mwenzio kanipendea hivi hivi" nilimwambia tu kwa upole kuwa sister hapa ofisini wanakusema kuwa unanuka jasho jaribu kufanya fanya mambo... akanambia "mwanaume mzima mmbea. hili jasho wenzio ndo wamelipenda" wanawkae wenzie walikuwa hawamwambii ila wanamsengenya dada wa watu. ukipishana naye hivi...ananuka jasho na usiombe awe kwenye stress au kazi zimemtinga sana mpaka watu wakawa hawakai naye ofisini.

Kama unampenda na UNA LENGO la kuwa nae/nao unawaambia tu UKWELI.. Mara nyingi huwa hawajitambui kama wana MATATIZO hayo...
 
Sipendi kutoa Udhaifu wa msichana/mwanamke niliyekuwa naye kimapenzi hata siku moja.
Lakini hili ni darasa, watakuwa wamesoma na kukuelewa na watafanyia kazi madhaifu yao.
Ila sometimes ni vizuri ukimkuta na tatizo ukaangalia lugha nzuri ya kutumia ili akuelewe
 
Kabla ya kutafuta njia za kukabili watu kama hao jiulize inakuwaje unavutia watu wenye mfanano wa dosari. Wazungu wana kamsemo kao "Birds of a feather flock together"........ Just saying.
Na pia una moyo, yani unaona utoko wenye harufu na bado unachomekamo humo humo na mpaka kupata vidonda vya mdomo inamaanisha ulienda uvinza kabisa......
Kabisaa!
 
Binafsi mwanaume anayemuacha mwanamke sababu ya tatizo la kunuka mdomo au popote naona ana utoto. Hayo ni matatizo ya kawaida na kuyaongea na mwenzako. Msaidie nae anukie. Ni sawa na kuwa na nguo yako ya thamani ambayo imechafuka. Ili kuivaa utatafuta Sabuni na kuifua.
 
Hawa ndo wanaume sasa. Much respect
 
Kabla ya kutafuta njia za kukabili watu kama hao jiulize inakuwaje unavutia watu wenye mfanano wa dosari. Wazungu wana kamsemo kao "Birds of a feather flock together"........ Just saying.
Na pia una moyo, yani unaona utoko wenye harufu na bado unachomekamo humo humo na mpaka kupata vidonda vya mdomo inamaanisha ulienda uvinza kabisa......
mkuu pata pepsi baridi naja kulipa !
 
Mi nadhani ukimuambia mtu ni vizuri zaidi hata kama atachukia lakin itamsaidia kutafuta suluhu ya tatizo lake,vusipomuambia wengi huwa hawajui kama anakua na hilo tatizo kwa sababu hatufu ukiwa umeibeba huisikii japo mi nikichelewa hata kuoga jasho nalisikia.

Mi niliwahi kuwa na boyfriend alikua na tatizo la kunuka kinywa yaani the first day tumekutana for a date hotelin kula lunch hadi apetite ilikata maana alikua akiongea tu ile harufu inayotoka kwenye huo mdomo huwezi hata kula kwa raha.

Niliogopa kumuambia kwa wakati huo lakin baada ya kurudi nyumbani nikaingia mitandaoni ku google hilo tatizo na nkapata baadhi ya solutions so nkaenda pharmacy moja kubwa nikanunua dawa moja ya meno ni expensive lakin ilikua nzuri pamoja na mouth wash yake kisha nikamuandikia barua kumueleza tatizo nliloligundua kwake na nikafunga hizo bidhaa na hiyo barua kama gift nikampelekea ofisin kwake.

Nlitegemea atachukia na pengine asingenitafuta tena lakin alinipigia kunishukuru na the next weekend tukatoka tena kwenda lunch na sikusikia tena hiyo harufu maisha yakawa murua.
 
WANAWAKE HUWA HAWAPENDI MAMBO YAO YAWEKWE WAZI. WHY? MKIAMBIWA MNAKUJA JUU. KAMA UANAUME NI KUVUMILIA HARUFU HIZO MBAYA ACHA NIWE SI MWANAUME. WHY MMEPANIC HIVI? KAMA UNANUKA UNANUKA TU... WALA HAMNA SIRI HAPO. na sisi wengine tunawaambia ili mjirekebishe badala yake mnakuja juu. nimekuwa na wanawake zaidi ya 100 miaka hiyo so kukutana na sample hizo ni kawaida sana sioni ajabu.
 
Miss Jay umeongea kwa busara nadhan una umri wa kutosha na uelewa mkubwa sana. pia ulipata mtu mwelewa. haya matatizo yapo sana tatizo watu hawatak kuambiwa ukweli..of course huwezi mwambia mtu kwa maneno mabaya. tunapoyaandika hapa JF tunategemea mtu atajifunza kitu flan na ndo maana nilisema kwa WANAWAKE NA WANAUME. haya mambo ni kero kubwa sana. kuna wanaume wananuka mdomoni ni kweli wapo huwezi hata ukataman kuzungumza naye au kukaa naye karibu.

hebu dada tusaidie hilo jina la hiyo dawa na mouthwash yake. na wengine wapate msaada hapa. haya mambo si siri kama wengine wanavyojaribu kuyafanya. as long as sijataja jina la mtu nashangaa kwa nini mwingine anaumia sana na kuona nimemdhalilisha? na sijasema ni wanwake tu hata wanaume wana matatizo haya wengi tu. muwarekebishe. hongera sana dada una moyo mzuri na mumeo au mpenzi wako amepata mwanamke hasa. njia ya kutatua tatizo lolote
1.kwanza ni kulitambua kuwa lipo.
2. kutafuta suluhisho

Mi nadhani ukimuambia mtu ni vizuri zaidi hata kama atachukia lakin itamsaidia kutafuta suluhu ya tatizo lake,,,usipomuambia wengi huwa hawajui kama anakua na hilo tatizo kwa sababu hatufu ukiwa umeibeba huisikii japo mi nikichelewa hata kuoga jasho nalisikia.Mi niliwahi kuwa na boyfriend alikua na tatizo la kunuka kinywa yaani the first day tumekutana for a date hotelin kula lunch hadi apetite ilikata maana alikua akiongea tu ile harufu inayotoka kwenye huo mdomo huwezi hata kula kwa raha,,nliogopa kumuambia kwa wakati huo lakin baada ya kurudi nyumbani nikaingia mitandaoni ku google hilo tatizo na nkapata baadhi ya solutions so nkaenda pharmacy moja kubwa nikanunua dawa moja ya meno ni expensive lakin ilikua nzuri pamoja na mouth wash yake kisha nikamuandikia barua kumueleza tatizo nliloligundua kwake na nikafunga hizo bidhaa na hiyo barua kama gift nikampelekea ofisin kwake,,,nlitegemea atachukia na pengine asingenitafuta tena lakin alinipigia kunishukuru na the next weekend tukatoka tena kwenda lunch na sikusikia tena hiyo harufu maisha yakawa murua.
 
Back
Top Bottom