Imekuwa kawaida kwa mwanaume kumtamani binti ndani sekunde chache baada ya kumuona kwa mara ya kwanza na anaweza akawa teyari kuvunja nae amri ya sita muda huo huo. Sasa kwa jinsia ya kike hali...
Habari wakuu,mi na girl mpya ila kwa sasa tumezoeana kidogo km 3 monthes hv,aliniambia hanywi pombe before ila mi nakunywa km kawa,cha kushangaza kuna siku tulizinguana nikamwacha ghetto nikaenda...
Pengine unamuona mdada, mrembo, saa nyingine mtafutaji, mwingine anatia tu huruma na wewe ukamuonea huruma, ukaamua kumuoa. My freind makundi haya matutu nitakayo kutajia hawana true love, upendo...
Maisha ya mwanadamu yana sehemu kuu tatu;kuzaliwa..kuishi na kufa;na kifo/mauti inaweza kukutokea bila kujiandaa. Kumekuwa na wimbi kubwa la warithi halali wa mali za marehemu kuzurumiwa na watu...
“I Know It’s Haram But I Love Him”
This is the answer that some sisters give when they tell them that having boyfriend is Haram in Islam. So this is a message for everyone of them:
“Dear Sister...
yaaani ndio awe mama yako kwanza kabisa ana kibenten alafu anavaa vichupi kama vile swimmingpool pia anashikwa shikwa matako,matiti na kila kitu mbele ya jamii kwa akili zako ulizo nazo sasa hivi...
Za jumatano huku wote.
Kwa maelezo ya rafiki ni hivi...
Alikutana na bae wake kupitia hizi app za kudate ( Tinder, Badoo etc). Walikutana siku hiyo hiyo baada ya kuchat hadi kupeana namba. Huyo...
Wadau mambo vp...NajitokeZa apa Kutafuta Mchumba ambae badea kama mambo yakikaa sawa Aje kua Mke wangu kipenzii...Me ni Mtumishi wa umma, Umri wangu ni 26.....Sifa za Ninaemtafuta ni umri ambao ni...
Uswahilini maisha ya kila mtu, ni mume/mke wa nani? Anafanya kazi gani? Ana watoto wangapi? Ni kabila gani?
Nani ni mpenzi wa nani?
Huwa siyo siri.
Watataka wajue maisha yako, kama maisha yako ni...
Heri ubaki bachelor kuliko kuoa, Kuna mambo mazito Sana yanatokea kwenye jamii zetu kuhusu hawa wanawake,, nimewahi kushuhidia mwanaume analia kabisa kisa mwanamke, jamaa alijiwekeza vya kutosha...
Nimepita mahali nikakutana na baharia anapokea kipigo kikali kutoka kwa mkewe, na kilichonishangaza zaidi baharia ni IST na mkewe ni Fuso. Mbaya zaidi baharia akawa anatoa machozi, kutokana na...
Mimi ndo niliamua kumuacha huyu binti kutokana na sababu zangu binafsi ambazo ziko nje ya uwezo wangu.
Nilifuta na namba yake kabisa, kumbe yangu ameikariri. Kinachoendelea sasa hivi ni kila...
Ndug zangu,
Nimefanya utafiti nimegundua kuwa asilimia 80% ya wanawake hutegemea pesa za wanaume.
Wengi wao hawana mtazamo wa kutafuta njia mbadala ya kutafuta pesa zaidi ya kukwambia " bby...
Walioana wakiwa wafanyakazi kazi wote wawili, walizaa watoto wawili. Baadae mwanaume aliondoka aliondoka nyumbani.. Yule mama alihangaika kulea watoto, si haba alifanikiwa kuwasomesha watoto na...
Mimi nina miaka 38 sasa, msomi wa elimu ya juu na nina kazi nzuri pia, nilikuwa naishi vizuri na wazazi wangu wawili I mean baba na mama, sasa hapa juzi baada ya ugomvi, mama ameondoka nyumbani na...
Leo lasmi naachana na mke wangu nnae mpenda sana na tumezaa mtoto mmoja kwasababu ambazo ziko nnje ya uwezo wangu imebidi nikubali kumuacha aendelee na maisha yake ambayo anaona yatakua bora na...
Holla people of MMU,
Kasinde Mahaba met Big G yesterday and this is what he has been whispering to her since....
Now, I'm not trying to be rude but hey, pretty girl, I'm feelin' you
The way you...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.