Mkuu hii kitu ni bora ukae kimnya ikule roho mwenye au wende chooni ukaongee peke yako ukimaliza toka na ufungue ukurasa mpya ukisema tuu umeshaharibu,umenikumbusha jamaa yangu mmoja alikua na mume lakini anaishi nje ya nchi,mume karudi kamletea mazawadi akampa na gari usiku yuko na mumewe mume akamwambua mke wangu nataka ni Confess nili cheat mara moja wakati niko huko nje naomba unisamehe mke wangu,mke kasema poa nimekusamehe chezea gari, akaja kunambia nikamwambia shosti huyo bwana anakuvutia pumzi zamu yako itafika na humalizi week atakuuliza,sasa akikuliza sema No hata akushikie kisu mwambie mume wangu kama unata kuniua sawa lakini sijawahi kukusaliti wala kuwaza kukusaliti sawa anasema sawa,Akaaaa!! sijui kashikwa wapi mume alipomuuliza kasema eeeh mume wangu nilifanza lakini sio mara nyingi na kwa ujinga mpaka jamaa alokua nae kamuonyesha mumewe, haikuchukua hata miezi miwili mume kaoa na yeye talaka,sasa sishauri..habari wadau..Hivi ikitokea mpenzi, mke au mume akaCONFESS kuwa alishawahi kukusaliti je utapokeaje suala hilo?..utampongeza, utamfukuza au mapenzi yatapungua?..mawazo yenu ni elimu kwa wengine..nawasilisha.
Sitaoa mmMkuu hii kitu ni bora ukae kimnya ikule roho mwenye au wende chooni ukaongee peke yako ukimaliza toka na ufungue ukurasa mpya ukisema tuu umeshaharibu,umenikumbusha jamaa yangu mmoja alikua na mume lakini anaishi nje ya nchi,mume karudi kamletea mazawadi akampa na gari usiku yuko na mumewe mume akamwambua mke wangu nataka ni Confess nili cheat mara moja wakati niko huko nje naomba unisamehe mke wangu,mke kasema poa nimekusamehe chezea gari, akaja kunambia nikamwambia shosti huyo bwana anakuvutia pumzi zamu yako itafika na humalizi week atakuuliza,sasa akikuliza sema No hata akushikie kisu mwambie mume wangu kama unata kuniua sawa lakini sijawahi kukusaliti wala kuwaza kukusaliti sawa anasema sawa,Akaaaa!! sijui kashikwa wapi mume alipomuuliza kasema eeeh mume wangu nilifanza lakini sio mara nyingi na kwa ujinga mpaka jamaa alokua nae kamuonyesha mumewe, haikuchukua hata miezi miwili mume kaoa na yeye talaka,sasa sishauri..