Naombeni ushauri

mamibeibe

New Member
Oct 31, 2019
3
0
Shukurani

Asanteni sana kwa wote mlionishauri hususan wale waliotoa ushauri chanya kama vile Fibanochi emanuel prim na wengine wengi. Ushauri wenu ninauthamini na nitaufanyia kazi kwa faida ya mahusiano yangu na ndoa yangu. Mbarikiwe.
 
Kama ni hilo tu badilisha passwords ingiza iwe wewe tu unaijua. Ila huyo mwenzio mvumilie kwakutokuwa na kazi kwa sasa
 
Mwanaume asipokuwa na hela na huku ana familia kuna namna akili haziwagi sawa. Msamehe tuu ila badili namba yako ya siri na cash zitunze sehemu nyingine.
Mkifunga ndoa mnakuwa mwili mmoja yani chake chako, na chako chake. Kwanini huyo mtoto aumie?
 
Sist..! Buku tano ndio umeanzishia uzi, kwa mwenye kuona hapo naweza waza hilo.


Some times wanaume huwa tuna jishtukia kwa mambo madogo, hasa ata ukute mwana kaishiwa ata vocha kaona noma kuomba vocha, then ni hela ndogo mno.

Ukitaka ishu kama hizo ziishe, ishi naye kama mwenza wako, inaonekana kuna mambo mengi hata madogo una judge katika matumizi, au aki request kitu, itapitia mfululizo wa maswali kama ya usaili. Suluhu ya hilo, panga naye, kama kweli upendo upo 100%, fanya hiki

Kipato chako, kiweke mezani, kigawanye, kuwa asimilia iii itaenda hapa, itengeni, hiii itaenda huku itenge, then hii ya matumizi yetu binafsi itenge. Hutaona hilo likitokea, labda mwana awe kichaaaa
 
Ni mwizi , umeolewa na mwizi .Halafu mimi personal siwezi kuwa na mwanaume wa namna hiyo .Mwanaume anaechukua or omba pesa kwa mwanamke huyo ni cancer kwenye society .leave
 
  • Thanks
Reactions: THT
EP PRO,
Sijawahi kumnyanyasa na wala siulizagi maswali na kipato changu anajua na dili zote nazofanya anajua. Na sijaumia sababu ya elfu 5 ila why kafanya siri na ile message inayokuja aliifuta ndo nimeumia otherwise hatuna shida kabisa kwa yeye kutokuwa na kazi
 
Back
Top Bottom