katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,083
- 5,659
Nadhani mmesoma nipo serious mtaalamu mtoa tiba ambaye ni mchawi balaa aliyeshindikana ila please maeneo haya siyapendi TANGA
Hii noma aiseeeMi namjua mtaalamu wa umbea aliyeshindikana mtaa mzima..
Mtaaalamu wa uchawi anayetoa tiba aliyeshindikana kwa uchawi.Mimi mwenyewe ni mtaalam na nimeshindikana. Eleza shida yako
Mtalam wa 6x6???? Dare to talk openly ili mabaharia tujaeNadhani mmesoma nipo serious
... aseehh nimecheka sanaMi namjua mtaalamu wa umbea aliyeshindikana mtaa mzima..
... aseehh nimecheka sana
Hii noma aiseee
Ngoja niandike vizuri basiShoga be open..
Kwani unamuogopa nani humu?
Kuna ubaya kama mnanitapeli nifanyaje??Unataka uanze kutuloga sasa
Nisaidie basi nimpateShetani, mtafute utampata