Hisia za mapenzi kila mtu anakiwango chake

Hisia za mapenzi kila mtu anakiwango chake

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,761
Reaction score
15,577
Natamani kuuliza swali hili kwa members wa kike wa humu wanipe majibu at least nipate kujua hii kitu vizur,
kwani natamani siku moja kuwa counceler wa mambo ya mahusiano.

Swali ni;
Mwanaume akikufanya unavyotaka, unatumia dakika ngapi kukojozwa cha kwanza, bila kutiwa vidole, wala kuzamiwa uvinza.

Pia, katika research yangu nimeona kuwa mwanamke ambae anaweza kufanya uamuzi wa kumchangamkia mwanaume kwa salamu na kuongea nae mambo mengine, ndio wasichana ambao mala nyingi hupenda mapenzi
(Normal range of Libido)

Nasema hivi kwa nn
Nimeona na kukutana na wasichana ambao kiukweli hawapendi kufanya tendo hili mara kwa mara, japo hata mala moja kwa week, na wengi wao huwa niwa kimya.

Some precoution:
Wasichana wengi pia wamekua hawapendi kufanya tendo hilo kutokana na kuhofia ujauzito, magonjwa na hata kudhalilishwa kwa kusambaziwa picha za utupu, kuogopa tendo lenyewe la kuingiziwa bila kujua size ya mashine yenyewe, especially kwa mala ya kwanza.
Lakini haya yote yana njia za kuzuia.

I remember.
Nilikua na girlfriend wangu kipind cha nyuma, baada ya kuingia kwenye mahusiano, tulipokua geto nikijaribu kumvua chupi lakini aligoma kabisa bila kusema sababu hasa na akidai hayuko tayar, basi sikutaka kumlazimisha sana, nikaamua kusikiliza asemacho, tatizo likaja mm pia nilikua na preasure sana ya kufanya tendo hilo so ikanibid kutafuta mwingine.
Lakin hadi leo hii nikiongea na huyu binti ananiambia bado yuko hivo, anapenda mambo yote ya kwenye mapenz isipokua ngono (kukutanisha mashine na kibwenye)

Lakini sasa nilikuja kujikuta kwenye mahusiano na mwanamke ambaye yeye kila time anataka, wakuu nisiwafiche nilimkimbia huyo mwanamke sipo nae tena.
Yani ilikua ni asubuhi, mchana, na jioni anataka
Ukikataa anaanza kujishika yeye mwenyewe sehemu za siri. Nilichoka wakuu.

Toeni mawazo yenu,,
Ni njia ipi rahis ya kuweza kujuana kwa haraka, kiwango cha hisia za kimapenzi kama unaendana na mwenzio.
 
Wakati mnasoma komenti niungisheni kwenye biashara
FB_IMG_15751114553398685.jpeg
 
Ngoja nitarudi, mada fikirishi
 
Hisia za mapenzi kama ulivyosema hutofautiana sana mtu na mtu.
Lakini pia hata mtu huyohuyo mmoja anaweza kuwa na tofauti sana ya hisia kwa mtu na mtu.
Mfano mimi ni ke nimeshapitia hapa na pale lakini kiwango cha hisia zangu kilitofautiana sanaaa, kuna ambae nilikuwa nikimwona tu hisia zinapanda hapohapo bila hata kumsogelea, mwingine mpaka akianza kuongea ukasikia sauti akibembeleza, mwingine mpaka romance, mwingine anafanya romance anamaliza zote bado hisia zinakuwa mbali sana, kwa hiyo unaona hii peke yake itaathiri sana kufikia climax.
Sijui nimekujibu?
 
Tusemee upande mmoja, kwa mwenza ambae wewe pia unampenda yako yote.

But nimeelewa kwa upande wako. for what u say@client3,
 
Umeuaaaaaa. Thread closed
Hisia za mapenzi kama ulivyosema hutofautiana sana mtu na mtu.
Lakini pia hata mtu huyohuyo mmoja anaweza kuwa na tofauti sana ya hisia kwa mtu na mtu.
Mfano mimi ni ke nimeshapitia hapa na pale lakini kiwango cha hisia zangu kilitofautiana sanaaa, kuna ambae nilikuwa nikimwona tu hisia zinapanda hapohapo bila hata kumsogelea, mwingine mpaka akianza kuongea ukasikia sauti akibembeleza, mwingine mpaka romance, mwingine anafanya romance anamaliza zote bado hisia zinakuwa mbali sana, kwa hiyo unaona hii peke yake itaathiri sana kufikia climax.
Sijui nimekujibu?
 
mkuu hebu ni pm namba za huyo binti uliyemkimbia.
 
Nitakuja kujazia hapa ngoja nitoke class
.......
 
Kama uliyempata anapenda sana kufanya mapenzi kuna mawili kama haangalii sana video za ngono basi ana magonjwa ya ngono na mwingine kma hapendi Fanya mapenzi nawe inaweza kuwa hana hisia nawe au anakosa ile hali ya kujiamini au alipata matatizo nyuma labda kubakwa hali inayomfanya kutolifurahia tendo ila yote ukimpata mtu ambaye halifurahii tendo ni vizuri ukamuacha maana ata ukiowa atakupa sababu za ww kukuingiza kwenye dhambi ya uchepukaji
 
client3 kajibu vzur bt in nature homoni ndo zinaleta utofauti mkubwa kwenye hisia za ngono....

kuna watu wanahisia za juu kulingana na homoni zao

wengine wanahisia za kati kulingana na homoni zao

na wengine wanazo kidogo/hamna kabisa kulingana na homoni zao.... hawa watu ni wasumbufu sana ukikutana nao
 
Back
Top Bottom