Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Maadili yanaporomoka kwa kasi sana na kwa sasa imekua siyo kujificha tena ila ni kama kufanya promo kwa kasi ya ajabu huku wakijua wanaume ni wadhaifu na wameumbwa kutamani tuu unakuta kila...
6 Reactions
113 Replies
21K Views
Mimi ni rijali, nina mke na watoto kadhaa. Tatizo linalonikabili ni kuogopa kufanya mapenzi. Yaani wakati mwingine inabidi waifu awe kama ana nibaka. Mkonga unasimama freshi kabisa, lakini ile...
19 Reactions
170 Replies
20K Views
Mteja wa kwanza wa mahusiano ya kimapenzi ni wewe mwenyewe. Lazima ujijue kwanza wewe ni nani, unapenda nini na unaishi vipi. Mteja wa pili ni unaetaka kuanzisha mahusiano naye lazima ujue yeye...
3 Reactions
19 Replies
8K Views
Jamani wanaume kama mm... Tuchague sehemu ya kupumzika... Uhuru unamatunda yake.... Hivi mtoto kama huyu mpaka apate shida chuoni.... Wanaume tupo tyuuu, mpaka apate mzee mwenye presha wanaume...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Habarini WanaJukwaa Pendwa la MMU! Katika Pita pita yangu nimekutana na Msuguano Mkali wa Juu ya Raha ya Kuwa na Ndoa ama Kutokuwa kwenye Ndoa. Kuna Wengine Wamesema Ndoa ina Raha saana maana...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
Mambo zenu, Nimeona tu-share experience. Kiukweli nimelelewa katika maadili mazuri na wazazi wangu pia wakubwa wangu katika familia yetu ni watu ambao ni mifano ya kuigwa. Ni kweli nina heshima...
10 Reactions
61 Replies
8K Views
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji116][emoji116][emoji116] Mme na Mke walibishana kila mmoja akijigamba kuwa ana rafiki mzuri. Ili kumaliza ubishi, wakaamua kuwapigia Marafiki zao kwa loud...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Refer to the heading above, I joined JF with the intention to look for a male lover and partner with the following specifications ( Nimejiunga JF kutafuta mpenzi wa kiume mwenye vigezo vifuatavyo)...
21 Reactions
569 Replies
48K Views
Hii mentality ya "maisha kusaidiana" naona inawapeleka wamaume wengi kusiko. Imefikia point mwanaume akitaka kuoa anauliza mwanamke anafanya kazi wapi. Wanaume wanakua lege lege sana zama hizi...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Sometime nakaa najiuliza ila nakosa jibu, hivi inakuaje baadhi ya vijana wa siku hizi hutafuta wapenzi, mume au mke mitaondi. Tena wengine wanafikia hatua ya kuweka hadi picha zao na kuorodhesha...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu Mwanamke ambaye ni mpenz wangu ukitaka nikuchukie hata nisije kukusalimia milele na maisha yote, basi niombe hela...
11 Reactions
144 Replies
12K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Mwaka unaelekea ukingino now na sikukuu ndo hii wanawake wanatafuta kila njia ya kutupiga mizinga kwahiyo...
11 Reactions
155 Replies
15K Views
Salam wadau. Kuna jambo linanisumbua sana kulielewa. Wapo wanawake wazuri ajabu kutoka maofisini wana mishahara mizuri kabisa lakini ni Malaya kuzidi hata wale wa Sinza Mori. Hili jambo limekuwa...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu niaje wana na watu wote wa jf. Kuna kitu kimezuka kutoka kwa dada zetu siku hizi kwa kweli hako kamtindo...
6 Reactions
210 Replies
17K Views
Ifike kipindi nitoke kwenye huu msala. Mdada wa miaka 33, ameolewa ana watoto watatu. Nilijaribu kumtokea akanikubali, ananipa tunda, ninamla vizuri. Kumbe maishani mwake hajawahi kukojozwa bao...
5 Reactions
61 Replies
7K Views
Nilimaliza form four 2012 kutokana na kuwa free nikajaribisha na mimi kuwa na dem ki utoto utoto. Eeeeee mara paap mimba, kama utani vile, lakini ndio ukweli. Kipindi hicho binti ana miaka 18...
36 Reactions
53 Replies
5K Views
Tumejaribu kuwauliza wazee kwanini walifanikiwa kwenye mahusiano. Akatokea bibi mmoja akatuchana live. Akasema Mara nyingi akina Dada wanafunga benki zao za pale kati wakati akina kaka tupo...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Jaman ndoa hz zina mambo haya wale wanawake wenzangu, mliolewa na mliopo kwenye mahusiano ambao mnakatazwa msiwe na app ya jf kwenye cm zenu tupeane changamoto. Mm wa kwangu hatak niwe member wa...
5 Reactions
92 Replies
7K Views
KWA HILI RAISI UHURU KENYATA UMESIMAMA MAHALI PA MAKUHANI. Kwanza pole kwa majukumu ya kuijenga Kenya na Afrika ya mashariki. Hili ulilosema umenifanya nifumbue macho maana pia Mimi ninamabinti...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Nawasalimu ndugu wana jamii forum. Niende moja kwa moja kwenye mada nina mpenzi wangu hafiki kileleni ,mara ya kwanza nilidhani labda namkosea lakini kila nilichojaribu bado niligonga mwamba...
6 Reactions
112 Replies
18K Views
Back
Top Bottom