Huyu dada amejilengesha mwenyewe ila katumia njia ya kizamani sana

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
640
751
Hope mko poa

Ipo hivi niliendaga hospitali moja inaitwa KAMANGA kwa wakazi wa mwanza mtakua mnaijua ipo maeneo ya Nyegezi . Sasa kuna Mtu nilimpeleka pale kwenda kutibiwa sasa wakati yeye akiwa kwa dakatari nikawa nimekaa kwenye viti nikimsubiria mgonjwa atoke.

Mda nikiwa akaja dada mmoja mkali hatarii shepuu duuuh sio mchezo akawa amekaa kwenye benchi upande wa pili tukawa tunaangalia kwa kuibiana sasa mimi nilikua na mzoom tuu hilo figure mara akatoa simu yake akawa anaitumia sasa sijui alikua anachati na mtuu nikaona kama anakunja sura hivii hukuu mimi na mzoom tuu na yeye alikua ananiagalia kwa kuniibia baada ya mda kidogo akaja akanifuata akananiambia kaka habari nikamuambia salama
Akaniambia samahani una utundu na simu kidogo nikasema? ndio akananiambia simu yangu mbona nikituma text haienda naomba uniangalizie nikachukua simu , Simu yake inatumia line 2 moja ina kifurushi nyingine haina sasa yeye akwa pale kwenye maessage akawa ame command ile line ambayo haina kifurushi kwa zikawa zinagoma nika shift ile line iliyokua na bundle nikaiweka ikwa ndo ya kutuma text .

Akanambia nijaribu kutuma message kwenye number yangu nione kama itakubali ha ha ha! nikasema daah mungu mkubwa nikajitumia message bana ikatiki ika deliver akasema asante kaka...

Badae tukaanza story mda sio mrefu mgonjwa wangu akatoka tukasepa nikamuaga nikiwa kwenye gari hata sijafika home akanitext mhh mambo nikamjibu poa akaniuliza ushafika? nikamjibu bado sasa basi ..

Usiku akaanza blah blah... akafunguka kinoma mpaka nikadata tukawa wapenzi rasmi hivo yaani ananikubali kinomaa yaani tena saana..
Ila njia aliyoitumia ni ya kizamani sema amefanikiwa
 
Unajua wewe kavulana ni bonge la ndezi?
 
Michezo ya Ki James Bond unakamatwa kilaini sana hapo.

Mwanamke anayejilengesha maswali yake matatu.

1. Wewe nani?
2. Unatoka wapi?
3. Unataka nini?

Jivin'.
 
Hope mko poa

Ipo hivi niliendaga hospitali moja inaitwa KAMANGA kwa wakazi wa mwanza mtakua mnaijua ipo maeneo ya Nyegezi . Sasa kuna Mtu nilimpeleka pale kwenda kutibiwa sasa wakati yeye akiwa kwa dakatari nikawa nimekaa kwenye viti nikimsubiria mgonjwa atoke.

Mda nikiwa akaja dada mmoja mkali hatarii shepuu duuuh sio mchezo akawa amekaa kwenye benchi upande wa pili tukawa tunaangalia kwa kuibiana sasa mimi nilikua na mzoom tuu hilo figure mara akatoa simu yake akawa anaitumia sasa sijui alikua anachati na mtuu nikaona kama anakunja sura hivii hukuu mimi na mzoom tuu na yeye alikua ananiagalia kwa kuniibia baada ya mda kidogo akaja akanifuata akananiambia kaka habari nikamuambia salama
Akaniambia samahani una utundu na simu kidogo nikasema? ndio akananiambia simu yangu mbona nikituma text haienda naomba uniangalizie nikachukua simu , Simu yake inatumia line 2 moja ina kifurushi nyingine haina sasa yeye akwa pale kwenye maessage akawa ame command ile line ambayo haina kifurushi kwa zikawa zinagoma nika shift ile line iliyokua na bundle nikaiweka ikwa ndo ya kutuma text .

Akanambia nijaribu kutuma message kwenye number yangu nione kama itakubali ha ha ha! nikasema daah mungu mkubwa nikajitumia message bana ikatiki ika deliver akasema asante kaka...

Badae tukaanza story mda sio mrefu mgonjwa wangu akatoka tukasepa nikamuaga nikiwa kwenye gari hata sijafika home akanitext mhh mambo nikamjibu poa akaniuliza ushafika? nikamjibu bado sasa basi ..

Usiku akaanza blah blah... akafunguka kinoma mpaka nikadata tukawa wapenzi rasmi hivo yaani ananikubali kinomaa yaani tena saana..
Ila njia aliyoitumia ni ya kizamani sema amefanikiwa
wewe ni msee.....ng....kapime na vvu
 
Msimu wenyewe unaruhusu brother!

Pia namshukuru huyo dada kwa kujiongeza. Maana angesubiria umtongoze yawezekana hukuwa hata na wazo naye.

Changamkia fursa, hata mimi nisingemuachia kizembe. Ila ukumbuke yote tuliyojadili kwenye kikao chetu kilichopita.

Pimeni au mkumbuke zana za vitani.
 
Back
Top Bottom