Baada ya malipo ya korosho ,biashara ya ngono yashamiri Mtwara.!

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Hivi ni nani aliyetuloga watu wa kusini? Mwaka Jana baada ya kupata hela za korosho tuliwanunulia soda mbuzi , mwaka huu tena madiwani wa Masasi wanalalamika baada ya kupata hela za korosho wanawake wengi sana kutoka mikoa mbalimbali na nchi jirani wamehamia kusini kwa ajili ya kujiuza na tumewakubalia tu.

Lini tutapata maendeleo?
Screenshot_20191129-134732.jpeg
 
Kwa hizo pesa wanazolipwa kwa mafungu mafungu au?

pesa za kuwachanganya wayu ni zile za paaap mzigo huu hapa

mmeanza mambo yenu, walipeni watu pesa zao
 
Nawaonea huruma wanaume wa kusini,hivi ruhusa za kwenda kuangalia mpira usiku zitakuwa zinatoka kweli...!
 
habari za ulozi zinaanzaje hapo? alafu uache kusema "sisi watu wa kusini," usitumie vibaya huo msamiati
 
Ndivyo ilivyo.

Hata Unyamwezini(Tabora ) msimu wa mavuno ya Tumbaku mambo haya huongezeka mjini kwa asilimia kadhaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom