Kama mpenzi/dem wako anajihusisha na maswala ya u-maids maharusini pole sana

KING HAM

Member
Nov 25, 2019
23
11
Hawa wadada ambao Nima-maids wengi wao niwahuni kupindukia wanaveshwa sana na ma MC, PHOTOGRAPHER NA MA dj Tena Sisi wapiga picha kwenye harusi hawa wadada sio kazi saaaanaa kuwavesha yote kwa yote kama demu wako nayeye ni maids pole bro. Nawasilisha 🚶
 
Kwani kikawaida mwanamke anaweza kuwa Maid kwenye Harusi ngapi?

Kwann ni maids tu na siyo akiwa anasoma chuo,mpanda bajaji au boda boda,mwimba kwaya?Au tuseme tu hivi, Kama mpenzi wako anapandaga dala dala achana nae?

kwahiyo kwa mfano mpenzi wangu akiwa maid kwenye sherehe moja niachane naye?

Hiyo theory yako haina mashiko kabisa
 
sehemu ya kwenda couple,mtu anaenda mwenyewe anadai yuko na marafiki zake....

ah thubutu yake,haruhusiwi mtu hapa utaenda sherehe zote ila sio za couple couple.....

Maids ni vidada flani vyenye mzukaaa,huwezi mkuta mpenzi wangu kwenye hilo group.
 
Tuwekane sawa, kuna baadhi ya mabinti wapo tayari kukodiwa kwenye sherehe yoyote akawe maids achana na yule anaeenda kwenye sherehe ya ndugu yake
 
Now days kila kazi ina challange...Mke,hata akiwa mama wa,nyumbani kama kuliwa lazima ataliwa tu...iwe bahati mbaya au makusudi
 
Mkuu safi sana kwa kuwaelewesha
Tuwekane sawa, kuna baadhi ya mabinti wapo tayari kukodiwa kwenye sherehe yoyote akawe maids achana na yule anaeenda kwenye sherehe ya ndugu yake
 
Kwani kikawaida mwanamke anaweza kuwa Maid kwenye Harusi ngapi?

Kwann ni maids tu na siyo akiwa anasoma chuo,mpanda bajaji au boda boda,mwimba kwaya?Au tuseme tu hivi, Kama mpenzi wako anapandaga dala dala achana nae?

kwahiyo kwa mfano mpenzi wangu akiwa maid kwenye sherehe moja niachane naye?

Hiyo theory yako haina mashiko kabisa
Wale wakukodishwa hata harusi Mia wanakwenda
 
Sasa tutakoma form Mmemaliza mitihani. Mtakuja kuanzisha threads za kipumbavu. Umeandika utadhani kuna kazi ya umaids so unashauri watu wasiwe profession hiyo. Uanze hata twisheni au english course

Hawa wadada ambao Nima-maids wengi wao niwahuni kupindukia wanaveshwa sana na ma MC, PHOTOGRAPHER NA MA dj Tena Sisi wapiga picha kwenye harusi hawa wadada sio kazi saaaanaa kuwavesha yote kwa yote kama demu wako nayeye ni maids pole bro. Nawasilisha 🚶
 
mkuu umechapiwa then unashare stress zako huku??
nauliza coz sijauona umuhim wa thread yako
 
Back
Top Bottom