Mwanaume asiye na msimamo anakosa mvuto

Meridah Tough

Senior Member
Nov 27, 2017
136
363
Habari wana jf?

Kwa kweli nianze kwa kutoa dukuduku langu kwa wanaume baadhi ambao hawana msimamo.
Sifa ya kwanza ya mwanaume kwangu mimi ni kuwa na msimamo. Ujue nini unataka. Ujue kufunga na zipu yako.

Yaani hapa kuna ex wangu mmojawapo hana msimamo kabisa. Anahitaji kuwa na mimi na hapohapo anahitaji kuwa na mwanamke mwingize, wawili zaidi yangu. Hata tukiachana leo, kesho mkakutana tu anaanza kutengeneza mazingira ya kurudiana.

Kutokuwa na msimamo kunawafanya wanaume wengi kushindwa kuwasaidia wapenzi wao wa dhati kwa kigezo kuwa hawajawaoa. Unakuta mwanaume ana wanawake 6, wote hao anawadanganya hovyohovyo tu, analipia guest, chakula, vinywaji nk. Unakuta pesa yote ambayo ungeweza kuhifadhi kwa ajili ya future yako au kumsupport mwenzako inaishia kwenye kula na kunywa na kulipia vyumba tu.
Kutokuwa na msimamo kunapelekea wanaume kuwapelekea wanawake wanaowapenda magonjwa hatarishi kama UKIMWI. Mwanaume hujielewi, mradi mwanamke amekuchekea basi unapita naye.

Mwaka jana kuna mdada alikuwa anafanya kazi saluni moja hivi. Bahati mbaya alikuwa muathirika. Kwa kuwa alijua hali yake, basi aliambukiza kwa makusudi. Ukienda saluni hapo na bae wako, huyo dada atajiongeza mwenyewe jinsi atakavyoonana na mwenzako mradi ameshamuona na kumjua. Atamtafuta na kumtega anavyoweza. Wale waliokosa misimamo wanaangukia pua.

Leo niishie hapa. Lakini wanaume mnapaswa kuwa na misimamo. Siku hizi hakuna wanaume wenye misimamo kabisa na kama wapo ni wachache sana.
 
Habari wana jf?
Kwa kweli nianze kwa kutoa dukuduku langu kwa wanaume baadhi ambao hawana msimamo.
Sifa ya kwanza ya mwanaume kwangu mimi ni kuwa na msimamo. Ujue nini unataka. Ujue kufunga na zipu yako.
Yaani hapa kuna ex wangu mmojawapo hana msimamo kabisa. Anahitaji kuwa na mimi na hapohapo anahitaji kuwa na mwanamke mwingize, wawili zaidi yangu. Hata tukiachana leo, kesho mkakutana tu anaanza kutengeneza mazingira ya kurudiana.
Kutokuwa na msimamo kunawafanya wanaume wengi kushindwa kuwasaidia wapenzi wao wa dhati kwa kigezo kuwa hawajawaoa. Unakuta mwanaume ana wanawake 6, wote hao anawadanganya hovyohovyo tu, analipia guest, chakula, vinywaji nk. Unakuta pesa yote ambayo ungeweza kuhifadhi kwa ajili ya future yako au kumsupport mwenzako inaishia kwenye kula na kunywa na kulipia vyumba tu.
Kutokuwa na msimamo kunapelekea wanaume kuwapelekea wanawake wanaowapenda magonjwa hatarishi kama UKIMWI. Mwanaume hujielewi, mradi mwanamke amekuchekea basi unapita naye. Mwaka jana kuna mdada alikuwa anafanya kazi saluni moja hivi. Bahati mbaya alikuwa muathirika. Kwa kuwa alijua hali yake, basi aliambukiza kwa makusudi. Ukienda saluni hapo na bae wako, huyo dada atajiongeza mwenyewe jinsi atakavyoonana na mwenzako mradi ameshamuona na kumjua. Atamtafuta na kumtega anavyoweza. Wale waliokosa misimamo wanaangukia pua.

Fine!! Please!! Kuwa na mimi in love, niko good kwenye hiyo sector.
 
Mkuu trust me nikikwambia kuna watu hawana direction yoyote ya future wife. Huyu mtu kwanza ni muwazi sana. Kama anataka kukutumia anakwambia wazi anakutumia. By the time tupo kwenye mahusiano kiukweli alikuwa anajituma na hizo tabia za kujiachia hivyo hakuwa nazo. Tumeachana naye baada ya kunichoka. Hatuna future. Hapo ndio akaanza fujo. Anazunguka huko siku akiniona anaanza kunicompare na mademu zake. Mara ananiwekea mazingira ya mimi kumuhitaji yeye. Nikimchana simpendi ananuna. Mara analalamika katika mademu zake hakuna yoyote wa maana mradi vurugu tu.
Hahhaha pole my dear the guy kutaka kurudiana na wewe haimaanishi hana msimamo,anajua nani yu moyoni mwake. Hapo kwako anataka free pussy tu. Beware.
 
Habari wana jf?
Kwa kweli nianze kwa kutoa dukuduku langu kwa wanaume baadhi ambao hawana msimamo.
Sifa ya kwanza ya mwanaume kwangu mimi ni kuwa na msimamo. Ujue nini unataka. Ujue kufunga na zipu yako.
Yaani hapa kuna ex wangu mmojawapo hana msimamo kabisa. Anahitaji kuwa na mimi na hapohapo anahitaji kuwa na mwanamke mwingize, wawili zaidi yangu. Hata tukiachana leo, kesho mkakutana tu anaanza kutengeneza mazingira ya kurudiana.
Kutokuwa na msimamo kunawafanya wanaume wengi kushindwa kuwasaidia wapenzi wao wa dhati kwa kigezo kuwa hawajawaoa. Unakuta mwanaume ana wanawake 6, wote hao anawadanganya hovyohovyo tu, analipia guest, chakula, vinywaji nk. Unakuta pesa yote ambayo ungeweza kuhifadhi kwa ajili ya future yako au kumsupport mwenzako inaishia kwenye kula na kunywa na kulipia vyumba tu.
Kutokuwa na msimamo kunapelekea wanaume kuwapelekea wanawake wanaowapenda magonjwa hatarishi kama UKIMWI. Mwanaume hujielewi, mradi mwanamke amekuchekea basi unapita naye. Mwaka jana kuna mdada alikuwa anafanya kazi saluni moja hivi. Bahati mbaya alikuwa muathirika. Kwa kuwa alijua hali yake, basi aliambukiza kwa makusudi. Ukienda saluni hapo na bae wako, huyo dada atajiongeza mwenyewe jinsi atakavyoonana na mwenzako mradi ameshamuona na kumjua. Atamtafuta na kumtega anavyoweza. Wale waliokosa misimamo wanaangukia pua.
Leo niishie hapa. Lakini wanaume mnapaswa kuwa na misimamo. Siku hizi hakuna wanaume wenye misimamo kabisa na kama wapo ni wachache sana.
kaolewe na JOHN HECHE
 
Hana msimamo sababu huna msimamo kila akikutaka anakupata wewe na wenzio mnaofanana hao ni wavuliana au watoto wa KIUME jaribu kuwatofautisha na WANAUME, Mfano wewe hapo ni msichana ila ungekuwa MWANAMKE usingekuwa on-off kiasi icho kwa mvulana ......endelea kuvumilia maana huna jinsi si umedai unampenda
 
Back
Top Bottom