jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Aisee ndoto yangu naona inafifia !! Napenda kuoa mzungu lakini sion hata uelekeo sijui niishije ili nipate hilo zali ,watu wa mikakati mko wapi mkakati gani nipange ili niangukie huko!! Kwa kweli nikifanikiwa nitaridhika sana ingawa sina maana wabongo ,au waafrika,wahindi na chotara kua ni wabaya !! Laa hasha!!....
Kuna jamaa angu C.O alipata bahati kapendwa na mdosi AF yy akawa hamuelewi wakati mdosi anakila kitu AF akaja kuoa mbibi mmoja wa kibongo yaani nkifikiria had nacheka !! Mi hizo bahat nazililia kumbe kunawengine wanapiga teke!!
Wakurupukaji msinielewe vibaya syo nataka mke mzungu kwa sababu ya hela hapana !! Mapenzi tu nahawa watu spend kuutunzwa na mwanamke so just tumake life!;
Kwa mliofanikiwa au wenye kujua tusaidiane!!