Hakuna kitu ninachokichukia mimi kama Mchumba kuomba pesa

Mtundu wa Tech

JF-Expert Member
Aug 19, 2019
642
606
Kitu ninachokichukia au kukisia au kukiona ni Mchumba kuomba pesa.

Maana mnaweza kutana siku ya kwanza mkibadirishana tu namba hapo hapo anakuambua hana bando, mara anataka pesa ya saloon mara nini yaan mpaka kero.

Kama kweli nikibahatika kumpata mchumba ambae hana tabia ya kuomba pesa nadhan hapo penzi litastawi haswaa

Sio utakutana na mdada au mmama muda mwingi anataka pesa tu, mara oooh nipe pesa ya kununua sabuni maana umechafua shuka zangu mara oooh mambo kibao ambayo siyapendi aisee.

Kwan tukiwa kitandani utamu napata peke yangu?

Wote tunapata utamu sasa why mimi nilipie guest house, ninunue chakula cha kula na kulipia nauli ya bodaboda au tax ila bado unataka pesa tu.

Mwanamke kama huyu sikawii kumblock mara moja aisee sipendagi ujinga meme
 
Meme ndio nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom