Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Dada anaeleza changamoto wanazopata wakitumia condom za kike. Vijana wa sikuhizi hasa akiwa amekupa pesa kidogo anakomoa.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wasaidizi wanaoogopeka zaidi na wenye sifa mbaya ndani ya majumba yetu ni wale wa kike. Wengi husingiziwa umalaya. Wengine uchawi na ushirikina. Wezi wa waume za watu (baba wenye Nyumba). Wizi wa...
9 Reactions
72 Replies
15K Views
Hope mko poa Wadau nilikua na mwanamke mmoja hivi nadhani hapa nilishaleta Uzi kuwa simpendi hata kidogo na nimezaa nae mtoto wa kiume .. Sasa kipindi cha nyuma kidogo nilimpost mwanamke wangu...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
WanaJF, Siyo siri leo nimestaajabu mapya kabisa katika mapenzi. Ilikuwa hivi: Kuna 'pisi' moja niliitongoza ikanambia itanijibu nivumilie. Sasa kuna siku aliniambia hana pesa ya msosi, mimi...
8 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari zenu wadau humu. Nina rafiki yangu ambaye alinifuata akiwa na masikitiko kwa yaliyomtokea baada ya kucheza rafu katika mambo Yale ya burudani ya watu wawili wa jinsia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ikiwa Leo ni siku ya Mama duniani, kila mmoja wetu angelipenda kumshukuru na kumjalia kheri mama yake mzazi/ mlezi katika mengi aliyomtendea kwa upendo usiokwisha. Wengine pia huwaombea tulizo la...
57 Reactions
120 Replies
13K Views
Hii tabia ya kuweka ndimu kwenye papuchi mnatufanya tupate tabu sana mabaharia kila ukitaka kuzama pangoni mlango unakuwa mgumu balaa!,yaani zaidi ya dakika 10 kila ukijaribu kupenya...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Mke wangu siyo mpishi mzuri na kuna vitu vingi hafanyi kwa umakini kwani wote tunafanya kazi na tunarudi jioni. Ila anapenda kuonyesha kuwa anapenda kunipikia ila vyakula vyake hulipua. Msichana...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Iliandikwa sehemu kama mzaha kuwa mwanamke wa enzi hizo, mume wake akirudi nyumbani jioni kutoka mihangaikoni, atamuandalia maji ya kuoga kisha chakula. Sasa ikitokea siku hiyo, mwanaume akadai...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mambo zenu,nina mdogo wangu wa kiume kamaliza chuo na anatafuta mtu serious He is 24 black and tall Hii ni kwa wadada tu I want to do him a favor Pm me if interested
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Matumaini yangu kuwa mu_buheri wa afya, hata kwa wale ambao kwao siku imekuwa nzito muumba atawajaza wepesi. Bila kupoteza muda nilejelee maada husika. Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Natafuta mwanamke mwenye kujielewa ili awe mpenzi wangu Sifa-:- 1) umri kati ya 25 mpaka 45 2)ambaye yupo tayari kucheki afya(yani tukapime wote) 3)mwenye kazi yake au biashara 4)mwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakubwa Shikamooni... Kwa takribani wiki sasa kumekuwa na mada mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwekwa humu kwa kuanisha jinsi gani Wadau humu wanavyoloweka na walivyo wakwale kwenye sekta nzima...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu Maji yameshafika shingoni naona uzee ndio huu ulishaingia, kwahivo natafuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 55 hadi 60 nimuoe ilitumalizie uzee wetu, awe na watoto sawa tu, awe alifiwa na mume...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
msichana wa type ya kishua(asinitegemee sana kifedha kwani na mimi ndo nimetoka tuu chuoni) mwenye mwili wa wastani, rangi asiwe mweusi. miaka 18 mbaka 24. dini yoyote(mkristo atapata kipaumbele)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mi nikijana mwenye miaka 29 Rangi yangu: Light skin Kimo: 5’8 Dini: Mkristo Msukuma kwa kabila, nimemaliza chuo 2017 na kupata shahada yangu ya kwanza. Nimwajiliwa serikalini. Nilikuwa kwenye...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya kuona jamii inavuka ule mpaka wa kumrekebisha mwanamke na kugeuka kuwa kumsimanga mwanamke, nimeonelea kutoa angalizo lifuatalo. Sisemi kwamba wasikosolewe, ninachosema ni wasionewe...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari za muda huu, Kuna kauzushi fulani aliniambiaga girlfriend wangu fulani wakati huo. Yeye ni mtu wa Kondoa, yaani Mrangi Aliniambia kama umekwich kwich na Mwanaume, halafu ukamfuta na...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Bae uliokula nae xmas na mwaka mpya msimu uliopita ndie utakula nae msimu huu au ndo mwaka mpya na mambo mapya?
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Mimi ni Mkristo mcha Mungu mlutheri miaka 30 nipo Dar es salaam. nafanya kazi katika kampuni binafsi. Nahitaji mume Mkristo mcha Mungu mwenye mapenzi ya dhati. Awe hajawahi kupata mtoto kwani na...
11 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom