Habari ndugu zangu wote , najua mko poa kabisa na hata wenye changamoto pia niwaambie kuwa tuko pamoja sababu ndo maisha yalivyo ila tu tutafute njia ya kujitoa huko kwenye matatizo kama zipo...
Kwema wanajf nashindwa kuelewa hivi vitu kwa wanawake wa sasa
1. Wengi wanatazama material things kama magari, uchawi wao ni magari yaan ukiwa na nyumba labda uibebe kichwani waone uko na nyumba...
Wanajukwaa kama kichwa kinavyosema hapo juu, hapo mwanzoni nilikuwa mpimaji VVU mzuri sana , sasa juzi juzi hapa nikampata mrembo fulani ambaye kwa kweli alinivutia sana mpk kupelekea kufikia...
Jana usiku nilijaribu kupitia Facebook Messenger na kufanikiwa kupata conversation na aliyeonekana mdada wa rika langu, kiuhalisia ni mkubwa hadi 7+ years ananizidi. Nilitoka kuzinguana na mpenzi...
Ile tabia ya wachumba kufanya sherehe za gharama kubwa wakitegemea michango ya watu imewagharimu uhai wanandoa mara baada ya harusi yao huko Kenya.
Walikodi hoteli ya nyota 5, walikodi helikopta...
Napenda kuleta kisa iki katika jukwaa ili kupata experience za wengine na mawazo yenu pia.
Nimekua kwenye mahusiano kwa muda sasa na binti mmoja. Nakati safari ya mahusiano hayo yalikua na visa...
Holla,
Kuna mahali niko tangu jana kempu flani hivi ya mahaba, sasa ina ratiba na vitu kadha wa kadha vya kufanya for fun, enjoyment and relaxation.
Kati ya ratiba zoooteee, ilipokuja ratiba ya...
Si kwamba kila apigae kelele amekunwa vizuri...wengine huwa ni matapeli tu.Baharia shtuka,utachunwa mpaka hela ya boksa,huku kwa mwaka mzima ukiishi kwa suruali moja na shati tu. Ndio ujumbe wangu...
Habari wadau wa MMU[emoji112][emoji112][emoji112]
Naomba nitoe story kidogo halafu mnipe facts juu ya jambo hili.[emoji116][emoji116][emoji116]
Hapo nyuma miaka kama miwili iliyopita nilikua na...
Kujambiwa na mpenzi wako huwa unajisikiaje?
Mi huwa naona kama vile amenidharau,na maamuzi ninayoweza kuyachukua ni kuachana naye. Je kwako ilishawai kukutokea,na ikikutokea utafanyaje?
Habari za wakati huu wandugu!!
Jamani mimi ni mwanaume nimeishi na mke wangu kwa zaidi ya miaka nane na tuna watoto watatu. Juzi kati hapa mwezi September mke wangu aliugua sana na kulazwa...
Natumai wote mu wazima, tumepoteana kidogo! Nimerejea, mara ya mwisho niliwasiliana hapa na BAK na dadaangu niah kupitia post moja kuwa nasafiri kidogo na wote hao na wengine pia wakanitakia...
Sidhani kama imetangazwa hii habari.. Lakini kisa chake kina funzo kubwa kwa malezi ya watoto wetu kwenye dunia hii ya leo na hawa watu wanaoitwa FAMILY FRIENDS...
Ngoja nianze kwa kusimulia...
Habari zenu wakuu
Nimevumilia ila nimeshindwa nahitaji msaada wenu huyu baharia mzee nimfanye nini .
Maana aliyonifanyia nahisi hata nikisema ni move on sitaweza natamani na mie nimfanyie kitu...
Yaani mwaka huu baada ya kuburuzwa na Mademu wa mizinga January hadi October hatimae nimepata Demu wa mahaba niue !kuna wanawake wanajua kupenda jamani sio kwa mahaba haya!!
Sent by Diaspora
I've realised that most shapy girls and women are using the platform to show off their endowments, such as hips, big shapely as*, big t*ts, and the like. I am not totally sober, but I thought I...
Habari wana jf!
Nipende kutanguliza shukurani zangu za dhati kwenu nyote kwani juzi zenu zimeweza kunipa matunda! Kuna uzi niliandika huku unaohusu namna ya kutongoza mwanamke kupitia majibu yenu...
Habari zenu wakubwa kwa wadogo,kwakua sitambui umri kati yenu naomba nitumie jina letu pendwa humu ndani WAKUU.
Nisiwachoshe na utangulizi mrefu,kikubwa nimeleta kwenu swali hili kutaka kujua...
Wadau, nina demu ambaye bado sijafanya naye sex ila nipo kwenye process za mwisho kabisa. Binafsi nilifikiria kumnunulia kazawadi, so naomba ushauri ni zawadi gani naweza mnunulia huyu msichana...
Salaam,
Kuna rafiki yangu tangu wa toka utotoni lakin tulikuja kutengengana katika harakati za kutafuta maisha na hatujawasiliana kama mwaka hivi umepita.
Sasa jana kanicheki WhatsApp akanitumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.