Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kila Niki SEX naye huwa napata mikosi Sana, pesa sipati dah. Sijui ndo hivo hatujaendana? Nimeamini kweli mikosi ipo, Sasa nimeamua kugawa namba kwa mwenye uwezo. Karibuni PM wale waliotayari...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari wakubwa zangu na wadogo zangu..Naitaji Mchumba awe na umri wa miaka 19-26,awe anaishi Dar-es-Salaam..awe ana mtoto wala ajawai kuolewa Mengine yote tutaongea private imel yangu...
1 Reactions
65 Replies
6K Views
Wakuu habari za asubuhi. Binafsi niko na mwanamke anayenitawala. 1.Kila kitu changu anataka kuelewa kinaanzaje na kinaishaje, hataki nifanye jambo lolote kama hajajua, endapo asipojua anaita...
11 Reactions
90 Replies
10K Views
.....Angalia sasa uujiiii woooteee umemwagikaaa..... Watoto wangu hawaa.... Wamemwagika buree kwenye boksi.... Kwani kunihenyesha hivyo mwanaume mzima na mzuzu wanguu mama mpigiii lakiniii...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Ebhana kama ilivyo ada kwetu wanaume kuchepuka ilihali tumeoa na tunawapenda wake zetu na kuwajali pamoja na kuwatimizia yote ila kikubwa zaidi kufanya kwa siri sana wake zetu wasijue. Ebhana...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Mabaharia huwa tunafuata kitu kimoja tu kwa mwanamke,nayo ni papuchi tu (Labda niseme wale wanaume wa Dar wanaopenda kulelewa na wanawake) Ila asilimia kubwa kwa sie mabaharia wa mkoani...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Yangu ni machache tu. Wanawake wa Kitanzania walioolewa wanakera sana. Ukimwambia kajiandae tutoke tukakae mahali tukale mbuzi choma, ataingia ndani akitoka utamwona na bonge ya kitenge cha wax...
11 Reactions
49 Replies
6K Views
Katika maisha kila binadamu ana mapito lakini katika kupita pita kwako ivi ulishawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na rafiki wa karibu na mpenzi wako,..... Mimi upande wangu ilishawahi kutokea...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Nduguzanguni Me nimetokea kumpenda demu mmoja ambaye ana rafiki yake wa kike anaitwa nasra.wote wawili ni shombe shombe tatizo linakuja moja nasra ana nipenda Sana me simpendi ila ninampenda...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Wadau, kuna dada mmoja namuelewa sana ni mzuri na tulishaanza mahusiano kwa mbali ila hatujafanya mapenzi. Tatizo aliniona nakula Nguruwe, kwa mbali akaanza kunikwepa nikimtafuta anachuna. Siku...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Ndugu zangu (me) kamwe usimwamini mwanamke yeyote zaidi ya mama ako mzazi!! hata kama ni mzur kiasi gani,haijalishi anakupikia birian au lah! Unaweza jitoa kwa moyo wako wote,unaweza kushindia...
21 Reactions
119 Replies
14K Views
Ukijua kuwa muda mwingi unafikiria ngono,na huwezi ji-control kiasi unaenda kuchukua Malaya aka (Chips funga) Kupata maendeleo Ni kazi... Binadamu ana sifa kubwa ya kujihimili na kujimudu(self...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Umofia kwenu wananzengo. Mwaka ndo unaishia hivyo na siku zimebaki chache sana lakini zinaweza kuwa mbaya sana kwa wapendwa wetu wengi.Vifo vya ghafla na matatizo kibao. Kwa kusema hayo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna mambo nmegundua yanasababisha ndoa idumu kwa wana ndoa wengi na wanawake wakifanyiwa ndo hupenda 1. Usije rogwa kusema "mimi siwezi mpiga mwanamke au mke wangu" si wanawake wetu hawa wa...
53 Reactions
75 Replies
9K Views
Ndoa ni Tamu sana tena Tamu kuliko kitu chochote ndani ya hii Dunia. Utamu wa ndoa utaushuhudia na kuuona pale tu ambapo wana ndoa watakuwa wamoja, wenye furaha na Amani. Kuwepo kwa migogoro kwa...
6 Reactions
15 Replies
6K Views
Mtu ameji-subscribe-sha kwenye Dating App na kuweka picha zake kibao humo lakini cha ajabu ukimtongoza anakuwa mkali kama pilipili ya kihindi. Mnajua maana ya Dating alApp? Mnaingia kwenye hizo...
9 Reactions
76 Replies
15K Views
Wakuu habr zenu... Jmosi nilikwenda pale Elements kwa ajili ya kupunguza stress za mishemshe za hapa mjini, mara nyingi huwa nakuwa na wahuni. Ile kufika pale parking daah sikuamin kumwona demu...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
A bite from the Brazilian wandering spider can cause an erection that lasts up to 4 hours Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom