Ukiacha au kuachwa ni sahihi kudai ulichonga

Ukiacha au kuachwa ni sahihi kudai ulichonga

Kigorohe

Senior Member
Joined
May 21, 2019
Posts
160
Reaction score
255
Habari wana jf!
Nipende kutanguliza shukurani zangu za dhati kwenu nyote kwani juzi zenu zimeweza kunipa matunda! Kuna uzi niliandika huku unaohusu namna ya kutongoza mwanamke kupitia majibu yenu nilifanikiwa kupata mademu japo ni kwa ulaghai!
Sasa kuna jambo limenikuta toka jumatano ambapo mpenzi ambaye nilikuwa nampenda na nilitamani badaye awe mke wangu naona anaende kinyume na nilivyotegemea. Lakkni kinachoniuma zaidi ni kwa nilikuwa nikigharamia sana, je kuna uwezekano wa kudai pesa nilizokuwa nahonga? Au ndo nimeingizwa chaka hivyo. Ila nampenda kupita maelezo japokuwa kwa sasa yupo mbali na mimi! Pia kama kuna mtaalam wa kusuruhisha maswala ya uchumba na kufanya mapenzi yaendelee naomba anisaidie
 
Ukidai utalipwa nn kama mtu alishatumia

Mzee songa mbele nyuma mwiko
 
Lkn inauma
Mimi nilimsajilia line ya airtell,amini usiamini Sina number yake, Sasa ntamdai number?.. nilimpa simu aniuzie 100K hi kwakweli namdai.. kila nikimuona namdai ananipa kidogo alafu tunaduu ... Ananihadithia mpnz wake mpya anavyompenda na kuniambia nitafute tu wakwangu... Jamani. Ila ananikojoza Sana yaaani Ana mboo tamu sijawai ona.. sesa ntafanyaje kashamove on....ila simu yangu namdai kwakwelu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisikilizeni kwa makini kwenye hili....
Kwanini udai ulichohonga? Tafsiri ya kuhonga mnaijua vema?
By the way utadai au mtadaiana vingapi? Kuna hisia hizi hazirudishiki
Kuna muda huu haurudishiki
Kuna mapenzi na ngono mlifanya hili halina rivasi kwamba mrudishiane manii
Kuna mahali mlienda pamoja unaweza kurudisha muda nyuma u cancel?
Kuna vyakula na vinywaji mlitumia pamoja mtatapishana?
Kuna mambo mengi mlifanya pamoja ambayo huwezi kuyadai wala kuyafuta hivyo kudai vitu vichache kama simu Fanicha nguo nk ni kutaka tu kupunguza maumivu yasiyofutika.. Lakini mwishoni ukiwa peke yako chumbani utakumbuka vingi visivyo rudishika...

Jr[emoji769]
 
Kama una kaa dar kamshitaki kwa bashite nasikia anapokea malalamiko ya wanaume dizaini yenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom