Sikiliza,
Mwanamke ukiona bado huwezi kujitegemea tambua kwamba bado haupo tayari kuolewa. Mume ni ziada katika maisha. Ili uolewe na ufurahie ndoa yako hakikisha umejipanga kimaisha wewe...
1. The wife that wins all arguments with her husband is not wise. The home is not a law court.
2. The wife that uses sex as a weapon in the home – placing embargo, going to bed in jeans shorts...
Yaani hasa kama mwanafunzi au mke wa mtu kabla hajaingiza yale machuma mwilini lazima akulainishe na mkuyenge.
Nimepata kusimuliwa visa kama 10 na wadada walioenda kutoa mimba kwamba ma DR...
Kusema ukweli kuna sura ukiiangalia tu unajua huyu mtoto wa kike,huna haja ya kuona kifua wala Chini ya kiuno
Kisura kama hiki kikwambie kimadeko "babe ukija si utanletea range rover eeeh" ujue...
Ndoa za siku hizi, mwanaume unaoa leo, wiki ya kesho mke anakukimbia, umepoteza gharama za harusi na your social status. Nndugu watakuonaje?
Unakuwa kwenye relationship na mdada, mdada hawezi...
Ktk maisha yangu nimeshakuwa na mahusiano rasmi na wasichana wapatao kumi hiv,
lakini kuna vitu nimekutana navyo kwa kila mmoja na kuamini kila msichana wa kitanzania anavyo,
1:Kutojibiwa baadhi...
Habar zenu wakuu
Takriban kwa mda mrefu sana nilikua naishi kiunafiki kabisa kufake relationship status yangu kwa sababu tofaut ambazo ni ziite kua ni za kijinga
Nilikua napata tafakar kuhusu...
Habari zenu wakuu,
Ni mda sasa sijaleta uzi humu jukwaani tangia nifunge pingu za maisha na mwanamke wa ndoto zangu ila leo kidogo nimeona nije na hili.
Nilileta uzi humu miezi minne iliopita...
Tumekutana jana usiku, hanijui simjui na hatujaonana vizuri nikamshauri uje alale kwangu akakataa kwa kujitetea atakuja kesho. Leo imefika anataka aje kana kwamba tunajuana.
Swali langu ni...
Salam aleikum wadau,
Mimi kama Mwenyekiti wa wanawake tulioamua kustaafu kusex bila ndoa nimepata malalamiko toka kwa mwanachama wangu mnajua bana sisi wanawake mtuelewe tu sometimes tupo off...
Wengi wetu leo hii ukimwambia unataka Mungu akupe nini atakwambia pesa/utajiri... ! Hata ibada nyingi kwenye haya makanisa binafsi ya mitume na manabii maombi makubwa ni PESA! MALI...
*Hudhuria msiba,
- ukauone uchungu na huzuni ya kuondokewa na ndugu/rafiki wa karibu. Hata tunapomlilia na kuzimia kwa sababu ya umuhimu wake (marehemu) kwetu - hawezi kuwa hai tena. Ametoweka...
Ushauri naombeni members wenzangu wa JF.
Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza. Wakati nakuja chuo namshukuru nilifanikiwa kumpenda mdada mmoja ambaye hakusita kuniambia ukweli kuwa ana mtu wake na...
MSICHOKIJUA KUHUSU DADA WA KINYAKYUSA (MBEYA)
msikurupuke tu kuoa Dada zetu kabla hamjahesabu gharama.....
~Hivi kwanini nyie wajanga hamjiulizi wanapooana mnyakyusa kwa mnyakyusa ndoa inaenda...
Natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu
Sifa
●Mcha Mungu na mpenda maendeleo
●Umri miaka 18-30
●Mrembo mweupe au mweusi mwenye shape atapewa kipaumbele
●Awe na shughuli halali inayomwingizia...
Habari wana jukwaa kichwa cha habari chahusika.
Sifa za ninayemuhitaji
*umri:miaka 18-29
*Dini:Muislamu
*Elimu: kiwango chochote
Sifa zangu
*Umri:miaka 30
*Dini: Muislamu
*Elimu: degree na...
Habari zenu wana jamii forum
Mwenzenu natafuta mume, mtaani wapo wanaokuja lakini bado sijapata tunayeendana kitabia.
Nimeona nijaribu na huku
Sifa zake
1.Mume Mkristo aliyeokoka
2.Mchapakazi...
Nilipokua na miaka 16 hadi 24 nilifanya mapenzi ili mradi tu ,na vile visichana vinashoboka unavigonga tu mapenzi unachukulia kawaida, unakuja gundua visichana unavovichukulia poa unavigonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.