Natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu
Sifa
●Mcha Mungu na mpenda maendeleo
●Umri miaka 18-30
●Mrembo mweupe au mweusi mwenye shape atapewa kipaumbele
●Awe na shughuli halali inayomwingizia...
Habari wana jukwaa kichwa cha habari chahusika.
Sifa za ninayemuhitaji
*umri:miaka 18-29
*Dini:Muislamu
*Elimu: kiwango chochote
Sifa zangu
*Umri:miaka 30
*Dini: Muislamu
*Elimu: degree na...
Habari zenu wana jamii forum
Mwenzenu natafuta mume, mtaani wapo wanaokuja lakini bado sijapata tunayeendana kitabia.
Nimeona nijaribu na huku
Sifa zake
1.Mume Mkristo aliyeokoka
2.Mchapakazi...
Nilipokua na miaka 16 hadi 24 nilifanya mapenzi ili mradi tu ,na vile visichana vinashoboka unavigonga tu mapenzi unachukulia kawaida, unakuja gundua visichana unavovichukulia poa unavigonga...
Habari za jumatatu wana MMU
Ni jumatatu nzuri ya siku ambayo taifa letu linaadhimisha siku ya uhuru
Nitaandika kwa ufupi mno kilichonisibu mimi hapa,
Mosi,mimi baada ya kuhitimu diploma katika...
Habari za jioni wakuu!
Hapa napoishi jirani kuna single mother alihamia siku za nyuma (sio muda mrefu sana)
Ana mtoto mmoja na huyu mtoto anapenda kuja kwangu na mara nyingi nimekuwa rafiki kwa...
Ooraah ni gani man chalii zangu humu fyade?..Natumai mko OG wazeya...Sina perepete shazi so acha niende direct kwenye mada...Apa fas ya kitaa kunae mamsi mmoja ananileteaga shobo za ki'waki ni...
Mic check moja mbili!
mimi ndimi
A.k.a DAKTARI WA MANESI.
Skiiiiiiiiiiii!
Aseee! Eebanaae kuna wanawake sio wavivu aseeee! Wamechangamkaaa, unakuta kwanza akija home ananukiaaaaa, yani mseeee...
Umeoa na una mshahara wa milioni 2, mkeo ana mshara wa laki saba.
Mnafanyaje hapo katika matumizi e.g chakula, nguo + ada za watoto?
Mliooa wanawake wenye mishahara, je mnawahudumia hata kama...
Kuna hii hadithi. Kiongozi mmoja wa nyumba ya ibada alifanya mazungumzo maalum na wanaume wanaosali hapo. Walikuwa takribani wanaume 30, na wote walikuwa wanaishi ndani ya ndoa.
Kabla hajazungumza...
Inafika hatua huoni hata faida ya watu wanaokuzunguka. Hujali ushirikiano na wengine maana hata kufanya hivyo ni kama kupoteza muda tu, unayemtegemea unakuta ndiye chanzo cha kukurudisha nyuma na...
Ndugu zangu mimi nina ndoa ya miaka 12, na nina watoto wanne. Nina degree moja na mke wangu ana degree mbili. najitahidi kutimiza mahitaji ya Nyumbani kwa hiyo Mke wangu na mimi wote tuna magari...
Hii members
Huwa nawaza sana siku ya mwisho Mungu akaamua kutuonesha matukio ya kila mmoja wetu alokua anayafanya akiwa peke ake basi tutaona mambo mengi ya ajabu sana
Maana mimi tu nikikaa...
Kama heading inavyoeleza hapo juu
Sifa zangu
Kijana wa kiume 27yrs
Nina mwili kiasi
Mrefu
Nimeajiriwa
Christian
Muaminifu
Upendo wa kweli
Sifa za ninaye muhitaji
Msichana
Umri 20-26yrs
Awe...
Wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua!!
Bora hata nilibubuje hapa ili hata ka upendo juu yake kapungue!.
Muda mwengine kujitia ugumu hakufai!! Kuna binti kipindi nasoma alitokea...
Huyu binti wa rafiki yangu anaitwa Shangwe. Shangwe ni binti anaevutia sana. Amemaliza kidato cha sita ingawa matokeo yake hayakuwa mazuri sana. Wakati wazazi wanafikiria cha kufamfanyia binti...
Hivi na hili linatakiwa tupoteze muda wetu kukwambia hili halipo sawa ?!
Umempata mwanamke unaempenda unataka kumuoa unapiga magoti ?! Lakini jamani si naonyesha upendo. Upendo gani ndo maana...
Huu mtindo umeshamiri ktk nyumba nyingi za wageni.
Unaingia rum unakuta pazia 'imeinuliwa' kidooogo au 'imesogezwa pembeni' kidooogo kiasi mtu makini aliye nje anaweza kuona yanayoendelea ndani...
natumain mko wazima
Mi Anna pita leo nimewamic nimeamua ni share na nyie jambo moja la msingi kwenye ndoa
Ewe mme usitumie nguvu nyingi Sana kumuazibu au kumgombeza mkeo anapokosea njia nzuri kaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.