Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ushauri wa mlio wengi nitauzingatia,hata Kama utatofautiana na maamuzi ya wazazi wangu,Nafahamu na wao ni binadamu wakati mwingine wanakosea. Baba yangu ni mzaliwa wa kwanza kwa wazazi wake,miaka...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Nina rafiki ki umri amenizidi miaka miwili lakini Hii ni age range moja. Huyu rafiki ananipenda mno siwezi kukata, ananichukua kama ndugu yake wa damu. Mfano tu kulikuwa na safari kanisani...
11 Reactions
79 Replies
8K Views
Nampongeza Juma Jux, baada ya kuvunja kibanda(Vanesa), Sasa kaamua kujenga Gorofa naomba nawanaume wengine tuige mfano huu. Unavunja kibanda unajenga gorofa, ukifanya kinyume chake basi...
9 Reactions
71 Replies
13K Views
Wakuu Toka nimemsafirisha mtoto mzuri kutoka bukoba to mtwara Nina miezi miwili! Nililazimika kuchukua likizo ya mwezi mmoja na nusu ili niwe nyumbani tu na huyu binti! Sasa muda umefika nataka...
3 Reactions
79 Replies
14K Views
Kimuhemuhe cha ndoa na ile hali ya kutaka kuonekana Mke bora, ile hali ya kutaka mambo ya maendeleo haraka haraka uharibu ndoa nyingi. Nijambo la kawaida kumsikia mwanamke akisema mume wangu...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wanabodi Mimi nikjana wa umri wa 33 ninatafuta mwanamke around 26-30 wakuanza nae maisha Mi naishi Moro na awe tayari kija kuishi na mimi Awe mpole kiasi, Mchamungu, Mkweli , Mwaminifu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanandoa wakongwe zaidi duniani wanaoishi nchini Marekani, John na Charlotte Henderson kusheherekea miaka 80 ya ndoa yao. Kwa mujibu iliyoandikwa na jarida la Washington Post, Charlotte (105) na...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Zamani heshima ya mwanamke/mwanaume ilikuwa kuolewa au kuolewa hata kama una elimu kiasi gani. Lakini dunia ya leo mambo yamebadilika sana. Hili linawagusa sana wadada nawaambia mjue. Kwanza...
9 Reactions
61 Replies
7K Views
Looh Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani e Huyu msichana nilimtongoza yapata miezi miwili Sasa. Tangu nilipomtongoza alikubali vizuri tu. Shida inakuja pale ambapo hataki kutoa tunda lake, anaonekana mwenye hofu flani juu ya...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Tanzania kumpa MTU salama ya shikamoo ni heshima kubwa sana Hata watoto wadogo wanafundishwa kutoa salamu ya shikamoo kwa wakubwa.. Jambo la kushangaza sana ni pale hawa wake zetu ambao wengi...
11 Reactions
98 Replies
12K Views
Hello chicas/wadada, Naomba mnisaidie hii information tafadhali. 1. Kuna aina ngapi za pedi zinauzwa na kutumikaTanzania, mimi naifahamu brand ya 'always' tu. 2. Ukinitajia hizo pedi naomba...
1 Reactions
110 Replies
53K Views
Kama ulishawahi kuambiwa eti "Baby simu ina 1% moja inazima muda si mrefu na huku nilipokuwepo hakuna chaji bye love u" nitakuchek baadaye nikiweka chaji". Alafu kuanzia hapo simu inakuwa...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Kauli za wanawake ambazo zimetukera sana 2019. Nimezichambua baadhi ambazo nimekutana nazo kwenye harakat za uchakachaj wa papuchi. 1. Unajali mpira kuliko mimi mpenzi wako 2. Sio unanivua chupi...
4 Reactions
104 Replies
10K Views
Wanawake wanawake,wasichana, wasichana ,wanalika Leo jamani tuache utani duuuuuuh!!!! Nipo hapa mwenge Kuna guest moja opposite na NMB hapa yaani jamaa anaehudumu katika guest hii ni mshikaji...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu wa maeneo ya Same msaada tafadhari. Naomba kujua Kama Kuna maeneo wilaya ya Same kilimo Cha mpunga kinaweza sitawi. Pia naombeni kujua fursa nyingine zilizo wilaya ya same na hasahasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mama ni Maisha. Picha ya kweli baada ya operation iliyodumu kwa masaa 7. Mtoto aliyezaliwa yupo mikononi mwa Mama yake, na upande wakulia ni daktari akiwa analia kwa uchungu sana.! Uyo Mama...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamaa yangu Jumamosi alikuja kuniazima gari. Si jamaa wa karibu sana ni mtu ambaye tulikutana kwenye mishe mishe flani ikaja kuonekana wote tunakaa mtaa jirani basi tukawa karibu. Jumamosi...
46 Reactions
69 Replies
8K Views
Wakati wengine wakiwa wanasherekea krismasi. Mi leo nashinda nyumbani nauguza donda langu maana yaliyonikuta jana kwenye mkesha ni zaidi ya majeraha ya kuanguka na bodaboda kwenye lami. Tangu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Leo niko mchovu sana baada ya mchoko wa Uchakataji nilioufanya jana Usiku,mtoto alikuwa siyo poa Shundu la kishkaji tu nyonyo na ambapo ugonjwa wangu ulipo ndio ilikuwa balaa nyonyo la haja mpaka...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom