Kweli nimeamini dalili kuu ya kuwa na HIV ni kuogopa kupima

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60
Wanajukwaa kama kichwa kinavyosema hapo juu, hapo mwanzoni nilikuwa mpimaji VVU mzuri sana , sasa juzi juzi hapa nikampata mrembo fulani ambaye kwa kweli alinivutia sana mpk kupelekea kufikia tamati ya kuingiliana kimwili. Sasa kama wiki tatu zimepita nikamfumania anabugia dawa zetu zile na nikamuuliza nn hizo wala hakusita kuniambia ukweli kuwa yeye anatumiaga toka mwaka 2013, ukabidi nimuulize kwa nn hukunambia mwenzako kuwa wewe tayari unatumia wkt mi mwenzako bado sijaanza? Akasema nililewa nikajisahau.

Sasa tokea siku aliponambia mpk leo sina amani kabisa na uoga ushanipata sana maana ghafla nimekuwa mwoga.

Jamani pls nisaidieni nifanyeje niondokane na msongo wa mawazo niliyonayo?
 
Salaleeeeh, wewe tayari tumeshakupoteza.. Nasikitika kukupoteza nguvu kazi mwenzangu kwenye ujenzi wa hili taifa..

Fanya mazoezi, kula vizuri na umrudie Muumba wako..!!!
 
Wanajukwaa kama kichwa kinavyosema hapo juu, hapo mwanzoni nilikuwa mpimaji VVU mzuri sana , sasa juzi juzi hapa nikampata mrembo fulani ambaye kwa kweli alinivutia sana mpk kupelekea kufikia tamati ya kuingiliana kimwili. Sasa kama wiki tatu zimepita nikamfumania anabugia dawa zetu zile na nikamuuliza nn hizo wala hakusita kuniambia ukweli kuwa yeye anatumiaga toka mwaka 2013, ukabidi nimuulize kwa nn hukunambia mwenzako kuwa wewe tayari unatumia wkt mi mwenzako bado sijaanza? Akasema nililewa nikajisahau.

Sasa tokea siku aliponambia mpk leo sina amani kabisa na uoga ushanipata sana maana ghafla nimekuwa mwoga.

Jamani pls nisaidieni nifanyeje niondokane na msongo wa mawazo niliyonayo?

Ombea huyo mwanamke asiwe na ukimwi wa congo maana ni mkali sana unaanziaga miguuni unapanda juu ukishafika kichwani unakata nyaya za kwenye ubongo
 
Back
Top Bottom