Ushuhuda: Leo nimejikuta naangukia kwa malaya

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
10,650
34,934
Jana usiku nilijaribu kupitia Facebook Messenger na kufanikiwa kupata conversation na aliyeonekana mdada wa rika langu, kiuhalisia ni mkubwa hadi 7+ years ananizidi. Nilitoka kuzinguana na mpenzi wangu na siku nyingi sijapata. Nikamwendea huyu mrembo aliyeonekana ni maji ya kunde, ana shape matata na kifuani vile ninavyotaka. Alirespond mapema nami nikaenda direct kuwa namtaka kwa leo hii, alichojibu ni "nauli yako tu". Nikafurahi kuwa naweza pata kimasihara, badae akadai ana shida na kitu flani ambacho nina uwezo wa kugharamia. Tukakubaliana leo mapema tukutane lodge flani Mbezi. Nikatangulia then yeye akachelewa kama dakika 40.

Mapichapicha yakaanza:
Manzi ni mfupi kiasi, mweusi kidogo tu na shepu lake liko vilevile kama nilivoliona mtandaoni. Hapa hakuna tabu sema ndo nikagundua kuwa kanizidi sana umri. Lakini alikuwa anatoa harufu ya zile sabuni ndogo za Eva na alikua na harufu kama ya mafuta ya condom. Maajabu yakaanza akavua nguo aliyovaa kumbe ndani hajavaa chochote sio bra wala pants. Then akaingia washroom, kutoka akapokea simu kuongea na mtu ambaye anadai picha na video. Nikaanza shangaa anaombwa video na picha za nini, mara baada ya hapo akaanza kuchati kwa sana nikaona whatsapp na telegram. Basi nikawa sielewi vile but nikavaa ndomu nikaanza kuipoza nafsi yangu. Bwana bwana eeh!! kule nimekutana na superby p**$¥ lakini inaonesha mileage za viwango vya juu. Akili ishanikatalia kuzama uvinza kwa wageni, hii kitu haikuwa na utelezi niliozoea sijui ndo matumizi makubwa au kwakuwa yuko kibiashara. Mwanzoni mimi sikujua kama ni malaya, hapa sasa akili ikazidi kuamini kuwa anajiuza. Nikapiga lakini waapi nimejaa woga, kujutia kumpata na kufikiri dhambi mpya niliyotekeleza leo. Tukiendelea akachukua simu na kuanza rekodi huku akinielekeza speed iwe ndogo. Nikafika sehemu nikastop maana nililazimika nifanye kwa taadhari. Ikabidi nimpigishe stori angalau nipoteze mawazo ya kuwa huyu ni malaya, uko ndo akaharibu zaidi. Kumbe yeye alidhani nimemuelewa sana hivo nataka nijue na mengineyo na alikuwa muwazi sana. Hapa ndo akaja nifahamisha kuwa ana mtoto mmoja wa kike, alizaa na baba mmoja hivi akamuacha. Akanionyesha picha ya mwanae ilikuwa kwenye wallpaper. Hii ya mtoto ilikuwa mwishoni, kuna sehemu alipokea simu kutoka kwa mwenzie eti kuna deal la kusagana kesho (threesome ya lesb) na pia anatoa ndogo/071. Hapo nikataka kuendelea lakini asikwambie mtu, eti kichwa cha chini kinazidi cha juu kwenye maamuzi lakini leo akili imenikatalia kabisa na mzeebaba amegoma kusoma 4G, bora iwe fedhea tu. Nikatoa kiasi chake nikampa akanunue alichosema kwa ajili ya sikukuu,hapa ndo nilijua nimeuziwa huduma. Nikamwambia siwezi endelea tena akaoga, wakati anatoka akapigiwa simu na mtu ambaye alidai ni mwanafamilia uko akajitetea eti anachelewa kumpikia mtoto uji. Akachukua uber akaondoka nikabaki zangu na huzuni kubwa. Baadae nikaoga nikaretreat kwa chama pendwa maana kwake sijamwaga hata then nikaondoka

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Siku zote huwa naamini wapo wanawake malaya na wanaume malaya... Malaya ni malaya tu haijalishi mwanamke au mwanaume
Na vilevile kuna wanaume maanithi wengi tu. Wao huona ni kitu cha ajabu sana mwanaume kutafuta solution ya kuzidiwa na sexual desire

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Na vilevile kuna wanaume maanithi wengi tu. Wao huona ni kitu cha ajabu sana mwanaume kutafuta solution ya kuzidiwa na sexual desire

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
😂 😂 😂kujiendekeza tu... na ni vile mko wavivu wa kazi kutwa kuwaza kutiana.. Mwanaume mwanaume my sole
 
Mkuu pole...naelewa stuation yako

Chunga Sana pale unapokua overstressed...huwa Ni mtego wa shetani ku-fall apart at once !all you have .

Wengi baada ya kukasirika Sana au katika uchungu mkali,walisema ...ngoja Leo nilewe vile sijawahi lewa...kumbe ndo ili mark Mwisho wao

Wapo ambao wao huimaliza Hali hiyo kwa punyeto au ngono Kama ulivyofanya wewe...nayo Ni hatari ku wa

Kwenye Hali Kama hii tafuta kutulia huku ukiomba msaada wa Mungu...time heals who knows

Tubia tuu dhambi yako kwa Mungu for self heading...and all is good with your God...maisha Yana mambo mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom