Asante 2019

Asante 2019

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Yaani mwaka huu baada ya kuburuzwa na Mademu wa mizinga January hadi October hatimae nimepata Demu wa mahaba niue !kuna wanawake wanajua kupenda jamani sio kwa mahaba haya!!

Sent by Diaspora
 
Uyo umepata kama mimi, nkiwa na malengo yangu ntakupenda upendeke [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mfano wa malengo yako yanakuwa yapi mkuu? Nasi tujifunze.
 
Yaani mwaka huu baada ya kuburuzwa na Mademu wa mizinga January hadi October hatimae nimepata Demu wa mahaba niue !kuna wanawake wanajua kupenda jamani sio kwa mahaba haya!!

Sent by Diaspora
Cheti cha kuzaliwa kinasoma namba ngapi ?
 
Hahaaa!sijampata mwezi huu mkuu
Tehtehteh...

Wewe mpya kwenye mapenzi eeh?

Wanawake nyakati hizi wapole kama mtetea unaotaga....nikumbushe hii comment yangu tarehe 20 January.

Sent by Diaspora
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom