Nipo bukheri wa afya

Nipo bukheri wa afya

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,580
Reaction score
870,237
Natumai wote mu wazima, tumepoteana kidogo! Nimerejea, mara ya mwisho niliwasiliana hapa na BAK na dadaangu niah kupitia post moja kuwa nasafiri kidogo na wote hao na wengine pia wakanitakia safari njema.

Naona ni hulka ya binadamu kutakiana mabaya ndio maana breaking news nyingi husambaa haraka hasa linapokuwa ni jambo baya husasani kifo ama ajali.

Naona nimehusishwa na yule jamaa mwenye jina la Nge mwenye tuhuma za kumtoa mtu macho kuwa ni mimi[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Nimehusishwa pia na tukio la kijichi kuwa yule aliyeanguka na ungo ni mimi[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]

Pia nimehusishwa na kutumbuliwa nknk !nimebaki kucheka, sijakasirika nimerejea bukheri wa afya.

Sihusiki kabisa na matukio yote yaliyohusishwa na mimi
 
Natumai wote mu wazima, tumepoteana kidogo! Nimerejea, mara ya mwisho niliwasiliana hapa na BAK na dadaangu niah kupitia post moja kuwa nasafiri kidogo na wote hao na wengine pia wakanitakia safari njema
Naona ni hulka ya binadamu kutakiana mabaya ndio maana breaking news nyingi husambaa haraka hasa linapokuwa ni jambo baya husasani kifo ama ajali
Naona nimehusishwa na yule jamaa mwenye jina la Nge mwenye tuhuma za kumtoa mtu macho kuwa ni mimi[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Nimehusishwa pia na tukio la kijichi kuwa yule aliyeanguka na ungo ni mimi[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]
Pia nimehusishwa na kutumbuliwa nknk !nimebaki kucheka, sijakasirika nimerejea bukheri wa afya

Naigeria wazima mkuu? Nasikia ulienda kuongeza "Nguvu za Ofisi"......
 
Tangu akamatwe Scorpion, Mshana Jr hajaonekana JF
 
Asante MUNGU na wewe mwenyewe kujibu na kuhakikisha uwepo wako na kufunga midomo ya huu upuuzi (japo ninaamini kabisa kuna wengi tuliochangia kwa utani kwa kuzingatia u-alwatani wako Mkuu)
 
Natumai wote mu wazima, tumepoteana kidogo! Nimerejea, mara ya mwisho niliwasiliana hapa na BAK na dadaangu niah kupitia post moja kuwa nasafiri kidogo na wote hao na wengine pia wakanitakia safari njema
Naona ni hulka ya binadamu kutakiana mabaya ndio maana breaking news nyingi husambaa haraka hasa linapokuwa ni jambo baya husasani kifo ama ajali
Naona nimehusishwa na yule jamaa mwenye jina la Nge mwenye tuhuma za kumtoa mtu macho kuwa ni mimi[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Nimehusishwa pia na tukio la kijichi kuwa yule aliyeanguka na ungo ni mimi[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]
Pia nimehusishwa na kutumbuliwa nknk !nimebaki kucheka, sijakasirika nimerejea bukheri wa afya
Sihusiki kabisa na matukio yote yaliyohusishwa na mimi
Mkuu mimi thijaongea chochote avae[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] pole sana vipi kwema huko ulikokuwa!!
 
Watu walikumiss mkuu, nami niliusoma uzi huo na nikajaribu kuingia kwa akaunti yako na nikakuta mara ya mwisho kupost ilikuwa 8/10/16. Nikajiuliza sana but sikuw na shaka nilifikiri labda umetingw sana.
Siamini kama asiyekufahamu physically anaweza kukuchukia kiasi cha kukuombea mabaya. Chukulia kama utani...twakupenda mkuu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] hapa nimecheka sana
Nimehusishwa pia na tukio la kijichi kuwa yule aliyeanguka na ungo ni mimi[emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]
 
Bora umetokea... Afu nichek pande zile mtu wangu
Yani hapa nilipo nacheka mpaka basi nilikuwa huku
1476784417676.jpg
1476784447483.jpg
1476784478209.jpg
 
Haya sasa , wale wote waliokuwa wanamsingizia mabaya na kumuombea mabaya, ndio wakati wao wakutubu, kabla hajaanza kutest vyombo vyake vipya alivyokuja navyo . mshana jr , mimi nilikuwa nakuombea uende salama na urudi salama, na nimatumaini yangu dua langu rabana amelisikia , ikiwa umejitokeza , karibu baba, vp hujaja na vile za mvuto wa wana wake, manake mpaka wanafunzi wa shule za msingi wanazinunua.
 
Back
Top Bottom