Bad Granny Kasie Matata....

Bad Granny Kasie Matata....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,228
Holla,

Kuna mahali niko tangu jana kempu flani hivi ya mahaba, sasa ina ratiba na vitu kadha wa kadha vya kufanya for fun, enjoyment and relaxation.
Kati ya ratiba zoooteee, ilipokuja ratiba ya dancing class weeeh, ilibidi mwalimu alikaa pembeni na kuniachia dancing floor...

Waalaaah, nililisakata rhumba kiasi cha kupata midadi yangu mwenyewe aahahahahaaa ilikuwa dansi Matata...

Mpende anaekupenda, asiekupenda achana nae...
Hayo machejo hayo, yamenifanya nimeshinda wima leo siku nzima... Halafu usiku huu bado nna jukumu tetee... tete a tete...

Kama songi limekolea, basi inamaa, kisha pinda mugongo namna hii...

Twende pamoja, atuuu atwaa atwaa twatwaa... basi inama...kisha pinda mugongo...

Ila tuache mashihara, mwanaune anayecheza na kukata mauno kama huyo kaka aliyevaa kipochi hapo kiunoni wuuuh unastukia tuu hali ya uterezi uterezi nyanda za kati kusini.....minyegeeeh kibaba....

Dawa yake ni kuinama, kisha pinda mugongo...(namna hii...).

Happy Festive Season MMU Members.

Granny Matata Kasiba.
 
Kasieeeeeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia bibi huyu, kwamba ni Platinum Member.... nashawishika kuamini kuwa JF walikula ile rushwa pendwa.

Hakuna lolote la maana, K ni K tu.... ila hii K ni Matata Platinumz.
 
We bibi si una umri wa whoop Goldberg?

Ahahahahhaaa looh
Kupitia maneno yako hapa, naomba nitumie mwanya huuhuu kumshukuru aliyenilipia Tsh. Laki Tano za kitanzania na mie kuwa Platinum Member Matata.

Mi nainama nakupinda mugongo.... namna hii....
 
Kwa

Kwa umri wangu siwezi tafuna kucha, umesahau nilikukosa kidogo tu kwenye catch me if u can

Aahhahaaa looh, usifanye nikarudi kwenye ule uzi kuona ulikuwa na swaga gani....

Sema tuu sijui kama ID ni hiihii au ulikuwa unatumia ID nyingine...
 
Back
Top Bottom