ANKO JEI
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,319
- 2,503
Habari zenu wakubwa kwa wadogo,kwakua sitambui umri kati yenu naomba nitumie jina letu pendwa humu ndani WAKUU.
Nisiwachoshe na utangulizi mrefu,kikubwa nimeleta kwenu swali hili kutaka kujua kwanini uliwahi kuoa au kuolewa?na experience yako ilikuaje?na nini ushauri wako kwa vijana wanaotaka kufanya hivyo?
Naomba niwe wazi kuwa kwa hivi sasa vijana wanapenda sana SHEREHE YA HARUSI bila kufahamu maana halisi ya NDOA,na hii inafanya wengi waingie kwenye NDOA kwakua walitamani Harusi,au kuendeshwa na mihemko ya kimwili.
Lakini pia pressure ni kubwa sana toka kwa wenza,unaweza kua na mwanamke akiona tu uko vizuri anaanza kushawishi mambo ya ndoa na kama huna msimamo unaweza oa huku unajiona,sijajua kwa wanawake hii ikoje but naimani pia wana experience hiyo.
Hivyo bhasi wakuu wale waliooa mapema hata ikiwa ulioa miaka ya zamani lakini ulikua kijana,naomba ujibu maswali hayo juu,kubwa zaidi USHAURI WAKO kutokana na UZOEFU WAKO sio kusikia kwa watu wengine.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app