Habari ya kughadhibisha na kutia simanzi pia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,694
Reaction score
870,415
IMG_20180211_124431_779.jpg
Sidhani kama imetangazwa hii habari.. Lakini kisa chake kina funzo kubwa kwa malezi ya watoto wetu kwenye dunia hii ya leo na hawa watu wanaoitwa FAMILY FRIENDS...

Ngoja nianze kwa kusimulia kisa nilichoshuhudia kwa macho yangu binafsi pale kawe beach ya wanajeshi....... Ilikuwa ni mwaka 2009 siku ya Jumapili nikiwa hilo eneo husika alikuja mzee wa makamo almost 55+... Ni aina ya hawa wazee wanaitwa mambo safi kutokana na wajihi wake... Huyu mzee alikuwa kavaa kubazi kaputula na fulana na alikuwa kaambatana na mabinti watatu.. Wote chini ya miaka 18
Kwa haraka unaweza kusema ni watoto wake lakini baada ya kuketi na kuagiza vinywaji nikagundua mmoja tu ndio binti yake halafu wale wengine ni 'friends' wa binti yake ama la watoto wa jirani...mzee akaagiza mvinyo wa At. Anne kwa ajili ya wale watoto wa kike na yeye akaagiza Heineken baridi sana
Sasa huyu aliyekuwa binti yake hakuwa na maadili pengine kutokana na makuzi... Baada tu ya glass ya kwanza akaanza kumuegemea baba yake mapajani huku kila wakati akihoji baba yake anachokifanya na simu... Dad who is calling you...!? Dad why you are so busy texting... Dad that was woman's voice... Mzee alikuwa anakereka na kuona aibu lakini mtoto hakujali

Kisa cha hapo juu ni matokeo ya kuwaamini 'family friends' wetu kutoka na watoto wetu bila kuwa na mtu mzima mwingine... Na pia kutofuatilia mtoto yuko wapi na nani na anafanya nini... Muda mwingi wazazi tunautumia kwenye mambo yasiyo na faida
Huyo jamaa hapo kwenye gari ambaye sasa ni marehemu... Alikuwa na tabia ya kwenda matembezini na binti (huyo picha ya chini) bila ya mtu mwingine na ALIKUWA ANAMPENDA BALAA
Wazazi hawakuwa na shaka na jamaa au pengine ni uzembe... Lakini kumbe ilikuwa kila wakitoka.. Jamaa alikuwa anaenda na binti kwake au kwenye gari anatoa uume wake na kumpa binti aunyonye... (Angalia kiambatanisho cha picha) binti huyu mdogo baada ya kuchoshwa na tabia hii ya ANKALI akaamua kumwambia mama yake vitendo anavyofanyishwa na family friend wao
IMG_20180210_223721_689.jpg

Mama akaandaa mtego na kufanikiwa kupata video iliyotulia na moja kwa moja akaenda kumuonesha mumewe.. Kilichotokea ndio hicho hapo pichani... Baba hakumchelewesha jamaa....
Baba keshavuruga ramani ya maisha... Mpaka aje kulimaza hili sio leo wala kesho... Lakini mtoto naye kapata jinamizi kubwa... Yale aliyokuwa anafanyishwa na kushuhudia mtesi wake akiuawa pengine mbele yake... Jinamizi hili halitamtoka milele

*Tuna changamoto za maisha... Tuko busy na kazi... Lakini ni muhimu na ni lazima kutenga muda wa kuwa na FAMILIA... Na kufahamu mahitaji yao.. Masomo yao.. Mapendeleo yao.. Wanakuwa na nani saa ngapi wapi nk... Lazima pia kuwafahamu vema hao family friends
Usiwe busy na kazi na maisha mpaka kila kitu uwaachie wadada, ndugu, majirani na family friends... Siku hizi watu ni wengi kuliko binadamu
 
View attachment 694194Sidhani kama imetangazwa hii habari.. Lakini kisa chake kina funzo kubwa kwa malezi ya watoto wetu kwenye dunia hii ya leo na hawa watu wanaoitwa FAMILY FRIENDS...

Ngoja nianze kwa kusimulia kisa nilichoshuhudia kwa macho yangu binafsi pale kawe beach ya wanajeshi....... Ilikuwa ni mwaka 2009 siku ya Jumapili nikiwa hilo eneo husika alikuja mzee wa makamo almost 55+... Ni aina ya hawa wazee wanaitwa mambo safi kutokana na wajihi wake... Huyu mzee alikuwa kavaa kubazi kaputula na fulana na alikuwa kaambatana na mabinti watatu.. Wote chini ya miaka 18
Kwa haraka unaweza kusema ni watoto wake lakini baada ya kuketi na kuagiza vinywaji nikagundua mmoja tu ndio binti yake halafu wale wengine ni 'friends' wa binti yake ama la watoto wa jirani...mzee akaagiza mvinyo wa At. Anne kwa ajili ya wale watoto wa kike na yeye akaagiza Heineken baridi sana
Sasa huyu aliyekuwa binti yake hakuwa na maadili pengine kutokana na makuzi... Baada tu ya glass ya kwanza akaanza kumuegemea baba yake mapajani huku kila wakati akihoji baba yake anachokifanya na simu... Dad who is calling you...!? Dad why you are so busy texting... Dad that was woman's voice... Mzee alikuwa anakereka na kuona aibu lakini mtoto hakujali

Kisa cha hapo juu ni matokeo ya kuwaamini 'family friends' wetu kutoka na watoto wetu bila kuwa na mtu mzima mwingine... Na pia kutofuatilia mtoto yuko wapi na nani na anafanya nini... Muda mwingi wazazi tunautumia kwenye mambo yasiyo na faida
Huyo jamaa hapo kwenye gari ambaye sasa ni marehemu... Alikuwa na tabia ya kwenda matembezini na binti (huyo picha ya chini) bila ya mtu mwingine na ALIKUWA ANAMPENDA BALAA
Wazazi hawakuwa na shaka na jamaa au pengine ni uzembe... Lakini kumbe ilikuwa kila wakitoka.. Jamaa alikuwa anaenda na binti kwake au kwenye gari anatoa uume wake na kumpa binti aunyonye... (Angalia kiambatanisho cha picha) binti huyu mdogo baada ya kuchoshwa na tabia hii ya ANKALI akaamua kumwambia mama yake vitendo anavyofanyishwa na family friend waoView attachment 694195
Mama akaandaa mtego na kufanikiwa kupata video iliyotulia na moja kwa moja akaenda kumuonesha mumewe.. Kilichotokea ndio hicho hapo pichani... Baba hakumchelewesha jamaa....
Baba keshavuruga ramani ya maisha... Mpaka aje kulimaza hili sio leo wala kesho... Lakini mtoto naye kapata jinamizi kubwa... Yale aliyokuwa anafanyishwa na kushuhudia mtesi wake akiuawa pengine mbele yake... Jinamizi hili halitamtoka milele

*Tuna changamoto za maisha... Tuko busy na kazi... Lakini ni muhimu na ni lazima kutenga muda wa kuwa na FAMILIA... Na kufahamu mahitaji yao.. Masomo yao.. Mapendeleo yao.. Wanakuwa na nani saa ngapi wapi nk... Lazima pia kuwafahamu vema hao family friends
Usiwe busy na kazi na maisha mpaka kila kitu uwaachie wadada, ndugu, majirani na family friends... Siku hizi watu ni wengi kuliko binadamu
Kwa kuweka hiyo video ya mtoto unazidi kumdhalilisha
 
Kulikuwa na haja gani kuambatanisha izo picha apa?? Ungeeleza hoja ako given that tayar abari na picha izo zimeshasambaa usingeeleweka?? Au ndio kutafuta sifa za kijinga??

Act your age not your shoe size!! Unapofanya jambo shirikisha ubongo sio kutafuta ujiko kwa matatizo ya watu!! Rubbish
 
Hapana... Na kama akimtambua ni kwamba anajua habari kamili.. Video inamwonyesha very clear... Tena pengine ina trend huko kwenye mitandao isiyo na tuo
Yes niliiona video kwenye group moja la WhatsApp. Kwa kweli hata mimi ningechukua uamuzi huo.
 
Dunia imevurugika kwa asilimia kubwa sana, huko tunakoenda sijui ndio itakuaje..!!! Yani pimbi huyo alishindwa hata kupita Joli club au M/nyamala kwa wahaya kupata huduma chafu kama hizo.?
 
Mbaya zaidi ni binti wa rafiki sio mtu baki... Rafiki pengine unayemwamini hata kumwachia familia kama ukipata dharura ya safari ya mbali
 
Jamani please please it will be nice mkiwa na picha za kutisha kwenye thread zenu mutuwekee warning.
Mods kama inawezeka mngeweka some sort of a flag and/or option wenye maada wa select so we can be forewarned.
Please please please ni ombi na pendekezo tu.
 
aisee! kumfanyia hivyo mtoto ni laana itakayomuandama hata huko ahera! alishindwa hata kwenda ambiance achukue demu?,wamejaa! pesa tu amfanyie haya ya kulambwa koni! nonsense!
 
Mbaya zaidi ni binti wa rafiki sio mtu baki... Rafiki pengine unayemwamini hata kumwachia familia kama ukipata dharura ya safari ya mbali
Umefanya vema kuweka picha.Ili I we onyo kwa wapuuzi wote wenye tabia mbaya kama hizo.Huwezi kufanya upuuzi kwa mtoto wangu halafu utegemee nikuache salama.
 
Mpe maadili mazuri mtoto mwenyewe ajue mafirauni wamejaa huko mitaani. Kuua mtu kwa mitego uliyofanya mwenyewe ni kosa .
Hakuna anayejua km ilikua set upp maybe.
Usikute wanadaiana jamaa kaamua kumaliza deni kiaina .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom