Huyu msichana nimnunulie zawadi gani?

Huyu msichana nimnunulie zawadi gani?

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,481
Reaction score
1,356
Wadau, nina demu ambaye bado sijafanya naye sex ila nipo kwenye process za mwisho kabisa. Binafsi nilifikiria kumnunulia kazawadi, so naomba ushauri ni zawadi gani naweza mnunulia huyu msichana kulingana na uzoefu wenu.

Je, ni vitu gani wanapendelea hawa wasichana kupewa kama zawadi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnunulie mbuzi akafuge kwao

Tunda la roho ni upendo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom