Wanawake msilazimishe wala kulaumu ....Kula na kipofu

Wanawake msilazimishe wala kulaumu ....Kula na kipofu

Sanyambila

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
394
Reaction score
523
Kimuhemuhe cha ndoa na ile hali ya kutaka kuonekana Mke bora, ile hali ya kutaka mambo ya maendeleo haraka haraka uharibu ndoa nyingi.

Nijambo la kawaida kumsikia mwanamke akisema mume wangu hanisikilizi lakini ukiongea naye na kuchunguza kidogo utakuta alitakiwa kusema “Mume wangu hataki nimuendeshe endeshe!”

Nilazima ujue kuongea na mume wako atakusikiliza lakini kama wewe ni mtu wa kulazimishia na kutaka afanye unachotaka sababu umeona kwa mwenzio tu basi sahau kupewa attention ya kusikilizwa.

Wakati mwingine mwanaume anaweza kukataa kukusikiliza au kufuata ushauri wako makusudi tu kwakuwa anataka kuonyesha tu yeye ndiyo mwanaume, kwakuwa ashachoka kupangiwa pangiwa na minuno yako isiyo na ulazima. Jambo ukishauri kwa upole na hekima la weza fanikiwa Wanaume tuliambiwwa tuishi kwa akili na hawa Watu tuwaape maahitaji yao🙏🏿🚶🏾‍♂🚶🏾‍♂🚶🏾‍♂🚶🏾‍♂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom