Nimetemwa siku ya krismasi.

Nimetemwa siku ya krismasi.

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,403
Reaction score
2,550
Wakati wengine wakiwa wanasherekea krismasi. Mi leo nashinda nyumbani nauguza donda langu maana yaliyonikuta jana kwenye mkesha ni zaidi ya majeraha ya kuanguka na bodaboda kwenye lami.

Tangu niingie rasmi kwenye tasnia ya utongozaji, sijawahi kataliwa na msichana yyte yule. Narudia tena SIJAWAHI KATALIWA NA MSICHANA YYTE YULE. ila jana, kuna binti mmoja mpya machoni mwangu, wamehamia kijijini kwetu mi nikiwa nipo skonga. Amenikataa.

Huyu binti nilikuja kufahamu badae kuwa anaitwa Ruby. Ni binti mpya kijijini asiyemfahamu Nebu..kuwa ni nano na familia yetu ina heshima gani hapa kijijini. Amenizalilisha sana.

Jana mkeshani nmemfata nikamtongoza kama kawaida yangu. Sinaga maneno mengi ya uongo. "Naitwa Nebu, nimetokea kukupenda, naomba uwe mpenzi wangu" Binti si akanambia "Siwezi kudate na mtu ambae simfahamu, kwanza unavyoonekana wewe si Mtanzania"

Sikumshangaa kunihisi mi sio mtanzania maana kuanzia monekano wangu na hata matendo na mwenendo ni mtu ambae niko civilized sana kama watu wa Mamtoni. Basi nikamwambia "Mimi ni Mtanzania, hakuna asiyenifahamu hpa kijijini"

Demu akakaza, akaniomba kitambulisho cha NIDA ili ahakiki kama kweli mi ni Mbongo. Duh.. Nikamwambia sina kitambulisho ila Nina namba za NIDA. Demu akaniangalia kwa dharau kisha akaja jamaa fulani hvi akamchukua.
Basi nilishikwa na hasira nikaamua kurudi home kulala.

Nmelala kuanzia saa 6 usiku mpaka mida hii, nmeamshwa kwenda kula pilau, nyama ya kuku,ngombe na kondoo. Pamoja na maziwa mtindi. Nikaona kabla ya kula ngoja niwajuze wadau maswahibu yaliyonikuta.

Niwatakie krismas njema nyote.
Hasa mrembo wangu wa JF Sweet16

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Aisee tunapungua kwa kasi wana!

Mm nmesoma uzi wote nikifikiri kuna mahali utasema ulimezwa na maji na kwa bahati yakakutema kumbe ni upupu mtupu!

Pumbaaav zako!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe ushajijua kama Mhutu halafu unakwenda mtongoza Myaturu😂😂 haupo serious kabisa.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Punguza kulialia ili usitemwe tena wakati mwingine.
 
Wanaume wanatongozaga hivyo? Wewe vipi? Utakataliwa saaana level yako wanaodanga!
 
Wanaume wanatongozaga hivyo? Wewe vipi? Utakataliwa saaana level yako wanaodanga!
 
Huo mchanganyiko wa chakuka na hayo maziwa vikichanganya vizuri huko tumboni hata kijambo kinaweza kuja na nya
 
Tafuta mwanamke halafu uje umuache siku ya pasaka. Hapo utakuwa umelipa na moyo wako utatulia
 
Maandishi yamekaa kingosha ngosha tu.
 
Kama kawaida yako mzee wa kulia lia utakua uli lia as usual
Ahahahahah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom