Sina pesa ila naishi kitajiri

Sina pesa ila naishi kitajiri

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,202
Leo niko mchovu sana baada ya mchoko wa Uchakataji nilioufanya jana Usiku,mtoto alikuwa siyo poa Shundu la kishkaji tu nyonyo na ambapo ugonjwa wangu ulipo ndio ilikuwa balaa nyonyo la haja mpaka Raha,

Ukweli mkesha wangu ulienda Vizuri kiasi kwamba umenifanya nione leo ni X-Mass na sio Jumatano japo sina pesa,

Nilichokifanya msimu huu licha ya kutokuwa na pesa nilijitahidi kujiwekea Akiba na ambayo nimemtumia bi mkubwa(Mama) na Mzee(Baba) kidogo angalau wao wainjoi sikukuu hii licha ya kuwa mwenyewe nitabaki sina kitu,

Kiukweli Furaha yangu kubwa ni kuwaona wazee wangu(Wazazi) wanakuwa na Furaha siku zote, wao wakifurahi tu basi kwangu mukide ata kama sina kitu,

Mimi sina mpenzi wa kudumu wa kusema anaweza kuniwazisha nianze kumcare care hivyo sikuchomolewa chochote msimu huu, mimi ni wa kuvuta chombo chapa asepe akianza kuniletea nyeusi napiga chini Navuta Chombo ingine,

Leo Niko zangu tu hapa gheto mara baada ya kugeuka kutoka Lodge nilikolala jana usiku kucha nikichakata,
Nimewasiliana na wazee wameniambia wako poa na wameshaandaa kitu soon wanakipiga waliuliza kwa upande wangu Vipi nimewazuga tu wasiwaze kuhusu mimi mambo kwangu ni Moto wamefurahi na kunipa Baraka inatosha japo mpaka sasa sielewi,

Bado sijapanga nifanye inshu gani kwa sasa Niende town nikagonge Msosi maeneo nirudi nilale au nimcheki mpenzi wangu Jane wa Area D, Aje na msosi Tushinde wote mpaka Usiku.



Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi na umri wangu wa miaka hamsini nimechakata mbili tu wife wa tatu wewe na miaka 24 umeshachakata 350 ukifikia umri wangu si utakuwa umemzidi nabii Sulemani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom